Plot4Sale Punguzo la bei pata kiwanja/shamba kwa mkopo bila dhamana wala riba

cutebrown

Member
Feb 23, 2016
69
40
VKP Investment ni kampuni iliosajiliwa na serikali inayojishughulisha na mambo mbali mbali ikiwemo uuzaji/ukopeshaji wa Viwanja na mashamba.Inakupa fursa ya kimiliki ardhi kwa mkopo usio na riba wala dhamana.
Kwasasa tunamaeneneo/plots @:
Kiaraka kuelekea Mbweni
* Km5 toka barabara kuu iendayo Bagamoyo
*Mtr 900 toka baharini
*Umeme,maji pia makaz ya majilani yapo.
*Bei Sh20,000 kwa Sqm 1
Kigamboni Kimbiji(kidagaa/Magenge)
*Km 1toka barabar kuu itokayo Feri
*Umeme,maji na makazi vipo karibu.
*Bei Sh 15,000makazi Na 17,000 makaz Na biashara kwa Sqm1
▪Kerege Km 6 adi barabara kuu ya Bagamoyo.
*Huduma zote za kijamii zipo pia makazi jilani.
*Bei Sh 15,000 kwa Sqm1.
Bagamoyo fukayosi
*Mtr 800 toka Bara Bara kuu ya Bagamoyo.
*Huduma zakijamii zipo jilani
*Bei Sh 5,000 kwa Sqm1
Mashamba Bagamoyo Fukayosi.
*Km 3 toka barabara kuu ya Bagamoyo.
*Bei Sh 1,900,000 kwa Ekar 1.
⚠Maeneo yote yamepimwa na Yana hati.Wahi sasa ujipatie huduma nzuri na ya uhakika.
Karibu Offisini kwetu Mbezi Shule mkabala na sheli ya Puma/Jilani na Jengo la Mbezi Park utaona kibao cha VKP Investment.
Sim # 0757783401
[HASHTAG]#0712183055[/HASHTAG]
 
Imekaa vizuri hii. Morogoro hamna maeneo mkuu? Nahitaji sana pande hizo.
 
Huo mkopo unakuwaje, kwa maana ya masharti. Kwa MTU amabaye yuko nje na jijini inakuwaje kupata Huduma zenu.
 
Back
Top Bottom