Body ya Rosa bus inauzwa ipo kwenye hali nzuri kabisa tatizo Dereva alitembeza gari bila maji ikakaanga injini ukitaka utapewa na hiyo injini yake mbovu vingine vyote vizima tairi mpya roof safi...
Nauza Pc aina ya HP processor : Intel(R) Celeron CPU N3060 @1.6Hz
Installed memory RAM ; 4GB ( 3.85 GB USABLE)
System type: 64 bit operating system
inawarranty ya mwaka mzima nilinunua...
Wakuu Salaam,
Kwa yeyote mwenye mbilimbi mbichi kuanzia ndoo 2 kwenda mpaka 500 tuwasiliane kupitia 0713177372
Hapa Biashara Tu!
Picha ya Mbilimbi Mbichi
Nauza toyota verossa
Cc 2500
Kilometer 95622
Ipo Tanga
Inatembea
Haina tatizo lolote
Haidaiwi chochote
Safari ndefu ya mwisho ni March 2017
TANGA MBEYA then MBEYA LILONGWA
Then LILONGWE Tanga
Bei...
Wakuu,
Kuna kifaa nimenunua lakini cha kushangaza aina ya battery kinazotumia ni tofauti kabisa na hizi battery za kawaida. Nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anajua upatikanaji wa hizi...
Mimi natumia s6edge + imetumika wiki 2 sasa na haina tatizo lolote.... Nahitaj kutumia iPhone kwa vile Samsung huwa sizikubali Sana Kama iPhone mwenye nayo na yenye sifa tajwa hapo juu tuwasiliane...
Wakuu habari zenu,
Naomba msaada,
Utaratibu juu ya kusafirisha samaki waliokaangwa na kukaushwa vizuri kwenda nchi za nje kwa ujazo wa 10kg. Nifanyeje au kuna utaratibu gani katika hili swala...
Heri wakuu.
Naombeni ajuaye mahara pa kupata shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga nje kidogo ya Dar anijulishe.Pawe na maji ya uhakika, pasiwe mbali na balabala kuu
iwe rangi nyeusi.....gari iwe haijawahi rudiwa rangi.....gari iwe imenyooka iwe vizuri...
Gari iwe namba D..kuna mteja ana mln 12 itakuwa vizuri kama utanitumia picha
Mawasiliano piga sim...
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba...
Simu aina ya Phantom Six Plus inauzwa shs 500,000/= tu, mjini Moshi. Simu imetumika kwa miezi 2, almost new, iko na kila kitu chake. Inakaa na charge siku nzima pasipo kuzima data. Ni simu yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.