Wadau natafuta fundi SERIOUS wa Laptop! Msisitizo ni hapo kwenye SERIOUS manake nina uzoefu na tech wannabe wa JF. Nina personal problems so it sucks unasumbua mtu maybe kutoka Gongo La Mboto hadi Mwenge wakati unajua kabisa huna uzoefu wa hizi kazi; kumbe unataka kujaribu!!!
Anyway, laptop husika ni HP; made in China! Nimeshindwa kusoma model yake. Hata hivyo, sijafahamu tatizo ni nini hasa, ingawaje nadhani, mosi, OS (Win10) itakuwa ime-corrupt na pili kuna tatizo kwenye power system. Hili la power ndio tatizo la msingi kwangu.
TATIZO LILIVYOTOKEA!
Ilikuwa usiku naangalia movie kwa kutumia laptop! Nilipochoka, nikaifunika tu bila kuzima nikaenda zangu kulala! Asubuhi nilipoiwasha ikafanya kama inawaka kisha ikatoa maandishi ambayo miongoni mwake yalisomeka "missing file... recovery...!" Nika-panic kweli kweli kwa sababu sikutakiwa kuishi bila laptop japo kwa saa moja!Kutokana na panic, faster nikaizima manually!
Baada ya hapo ikawa kila nikiwasha, holaa! Na mara power indicator ikawa haisomi tena! Kwavile sikuwa na suluhisho la haraka, nikalazimika kuiweka pembeni kwanza! Hadi hapa ninapoandika, ina takribani mwaka mmoja ikiwa ghalani.