Amperius kajuna
Member
- Apr 22, 2017
- 26
- 3
Ndugu kama nilivyo kwambia mimi ni fundi umeme nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme mwaka 2015 ila sijafanikiwa kupata nafasi nzuri ya kutumia ufundi wangu hivyo naomba mwenye kuhitaji kunisaidia. Nipo mwanza nyamagana mkolanii kwa simu no 0746565455 naweza kufanya kazi yeyote kwenye kampuni yoyote nk asante kwa kunisaidia