Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Miongoni mwa wa Tanzania walionufaika na jf mimi ni miongoni mwao hivyo watanzania wenzangu au wanafamilia wa jf nikiwa kama kijana mtiifu mpenda maendeleo a.k.a Baba paroko ninaomba ukaribisho...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mnakuwaje kupanda ngazi humu? maana sijaingia humu kupost mambo au ndio maana nimo ngazi ya chini? naona waliojiunga juzi ni member na mie ni junior member kwa sasa nipo nje ya Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi
This is ifolako from India want to say hello to all Jamiiforums member,hi!
0 Reactions
4 Replies
972 Views
Hello wana JF!
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Kwanza naweka heshima mbele kwenu wanajamii kwa michango yenu ya kujenga. Nami leo nimeamua kujiunga nanyi katika chombo hiki huru cha kuchangia mawazo yetu yanayojenga. Hope mtanipokea.:yo:
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wapiganaji nimefurahi sana kuwa mmoja wapo wa wanafamilia wa jf ni naomba tushirikianane kwa yote aksanteni sana
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Jamani mtanisamehe niliingia kwa dirisha wakati wa uchaguzi (damn! i was so angry) kwa hiyo sikubisha hodi, sasa jamaa wamenipa maji nimemezea hasira yangu imeenda kutengeneza ulcers tumboni ndo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana Jf mpooo? Ndo nimeingia kwa kishindo so tushirikiane please
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani Hodi!! Watanzania wenzangu wana JF nawashukuru kwa sababu nimejifunza kwenu mengi nikiwa siyo member na sasa nimelazimika kujiunga kwani ninaamini hapa ni mahali pa watu wenye akili na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu wa itifaki Naitwa Shikutengi, nimekuwa nikivutiwa sana na Jimii forum kwa siku nyingi sasa leo uzalendo umenishinda nimeamua kuwa muumuni (member) naomba mnipokee niko...
0 Reactions
4 Replies
970 Views
hallow JF members
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Muda muafaka wa Kuzoza na wana FJ kwa maendeleo ya TZ kupitia maandiko ndio huu, nimetinga rasmi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
mambo ni aje wapenda amani na maendeleo wenzangu mimi naitwa gudchaz........ningependa pia kufahamu jinsi ya kuwa premium member au senior member au expert....
0 Reactions
1 Replies
882 Views
HAIIII membaz!!! Ni mzee wa jikoni mwenyewe naingia.
0 Reactions
2 Replies
841 Views
naitwa Nimrod alex a.k.a Obi'S
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Hello esteemed members, My namer is sharky For months I have been following the very exciting discussion threads posted by various members of this forum and I have been very impressed by the...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Hellow JF, Thanks for welcoming me to this forum which is highly respected. Kwa pamoja tushirikiane kujenga nchi yetu. Asante sana
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Nawasalimu wana JF wote. Nimejiunga nanyi naamini ninayoyapata humu yanazidi kufanya nipige hatua moja zaidi. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello wana JF
0 Reactions
2 Replies
768 Views
:sad:Ni kweli nchi imewekezwa rehani kwa kutumia vitisho, vyombo vya dola (ikiwemo mchakachaji namba moja tume ya uchaguzi) na viongozi wa serikali waliowekwa kwa hisani ya uswahiba
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom