Hodi jamvini

Ananani

New Member
Nov 9, 2010
2
0
Nimekuta mlango u wazi, nikasema mh, siachi kuingi hapa, MAANA INASEMWAA KUWA "KILICHO WAZI HAKIACHWI JAPO CHA MTU". Jamani hodiiiiiiii
 
Nimekuta mlango u wazi, nikasema mh, siachi kuingi hapa, MAANA INASEMWAA KUWA "KILICHO WAZI HAKIACHWI JAPO CHA MTU". Jamani hodiiiiiiii

Ina maana hukuniona? Basi labda nilikua nakata gogo Karibu mwaya
 
Karibu sana, licha ya kuwa umekuta mlango upo wazi lakini kuna sheria na kanuni za nyumba hii ambazo inabidi uzizingatie, ngoja nimtafute kaka PJ akupatie sijui kaenda mtaa gani!!
 
Back
Top Bottom