Sasa kumekucha domo kweli nimetinga ulingoni

domo kweli

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
11
Reaction score
0
Muda muafaka wa Kuzoza na wana FJ kwa maendeleo ya TZ kupitia maandiko ndio huu, nimetinga rasmi
 
duuhhh FJ ...?????
karibu sana kwenye JF....
enjoy ur time here....:smile-big::smile-big:
 
Muda muafaka wa Kuzoza na wana FJ kwa maendeleo ya TZ kupitia maandiko ndio huu, nimetinga rasmi

kaingia kichwakichwa .ila karibu bro!! kuna jukwaa la mambo ya kikubwa kule omba acces mapema
 
Sasa najua kuna wataalamu wa kugundua not only hisia za ufupisho hata kamwe na tangu hata tangu but hata jinsi unavyoweza kufafanua FJ "FURAHA YA JAMII" Domo kweli kwa maana halisi alivyojitumbukiza (jumuika) kwenye vichwa vya wana JF, kamwe wana JF msidhani ilikuwa ni kuikosea JF maana yake halisi. Data za ukweli ndo msingi mkuu wa kuelimishana ktk hii JF.Mnastahili kutarajia makubwa ya kweli from Domo Kweli.
 
wjamaa una mbwebwe si mchezo
 
Mambo mazito ya nchi hayahitaji slow moving like snail,kobe alivikwa gamba gumu na maisha marefu yasiyochakachuliwa (kama haki yake ya kuishi itaheshimiwa) kwa kuwa alichelewa kufika.Wajanja walipata ngozi laini na maisha mafupi wahudumie Dunia then watinge kunako sayari nyingine kwa maendeleo mengine.
 
Sasa najua kuna wataalamu wa kugundua not only hisia za ufupisho hata kamwe na tangu hata tangu but hata jinsi unavyoweza kufafanua FJ "FURAHA YA JAMII" Domo kweli kwa maana halisi alivyojitumbukiza (jumuika) kwenye vichwa vya wana JF, kamwe wana JF msidhani ilikuwa ni kuikosea JF maana yake halisi. Data za ukweli ndo msingi mkuu wa kuelimishana ktk hii JF.Mnastahili kutarajia makubwa ya kweli from Domo Kweli.
Duh!
Umenikumbusha enzi za kuuza ujugu, maneno meeengi kuwashawishi wanununuzi.
Dah! Haya bwana, kweli wewe domo kweli :smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom