Optimistic Soul
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 204
- 22
Jamani mtanisamehe niliingia kwa dirisha wakati wa uchaguzi (damn! i was so angry) kwa hiyo sikubisha hodi, sasa jamaa wamenipa maji nimemezea hasira yangu imeenda kutengeneza ulcers tumboni ndo nimekumbuka kwamba kuna watu ndani ya hii kitu (JF), I SALUTE YOU ALL
Let's keep hoping people! pamoja tutashinda.
Let's keep hoping people! pamoja tutashinda.