Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Naomba mnikaribishe japo nilijiunga siku nyingi. Nimefaidika sana na jamvi na ninategemea kuendelea kufaidika na kuwafaidisha wengine
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear JF members-ladies and gentlemen, I am the newcomer to this forum. I am glad to have this opportunity to introduce myself to you. I am Mr. Pacemaker. For the past several years that the...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi katika jukwaa la jamii, jamani Mpo? kwa pamoja nawasalimu, Hamjambo? Basi tupo pamoja.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
First of all i am apologising on the name of holy name of JF sitarudia tena in using undisqulified language which i used involunterily Haya wanajamii niliingia hapa JF yapata mwaka sasa bila ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza nawaomba wanajamii mnikaribishe mimi wa hapahapa kwenye familia hii ya hapahapa ili nami nipate fursa ya kushiriki kwa namna moja au njingine matukio haya ya hapahapa duniani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
:peep: Jamani ndo kwanza naingia JF kupo pouwa sana nikaribisheni basi niingie compeletely.. si unaona bado nachungulia!!!:peep:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasalimu wana jamii me ni mgeni wenu naomba mnipokee tupeane mawazo ya kulijenga taifa letu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nimejiunga rasmi leo hapa JF na natumai kujifunza mengi na mchango wangu utakuwa na manufaa chanya si tu humu bali kwa taifa zima. Wasalam, VO
0 Reactions
5 Replies
898 Views
Nachukuwa nafasi hii kujitambulisha kwenu! Nia ni kuwa sehemu ya wanaochagia mawazo katika jamii yetu, kwa kuwa weledi, makini, na huru katika kutafuta utatuzi wa changamoto zinazotukabili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikua nafuatilia jf kwa karibu, imenipendeza nijiunge, ila wadau, mnanishauri nianze na topic gani inayopendwa humu:cool:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wenyeji wangu wazima jamani? Dah niko hapa kitambo ila nilijisahau sikupitia haka ka utaratibu..leo naona nijitambulishe rasmi...hope hamtakasirika sana wakubwa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu Great Thinkers....mimi ni mgeni humu naombeni kujiunga nanyi. Natumaini mtanikaribisha..Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi jf family,greetings.am the new kid in the block wishing 2 b part of ur family.wish w could stir up something 2gether & set the positive vibration in motion.asanteni.
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Ni aje wna JF!!! ni mimi mwenyewe Konkolinko Mtambo Wa Chuma, wana FJ naomba mnipokeee.........
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kusoma kwa siku kadhaa sasa nimeingia rasmi JF ila uchunguzi wangu umebaini kuwa kuna memba hawaielewi hii forum au kwa makusudi hawataki kuielewa, HESHIMU MAWAZO YA MWENZAKO KOSOA BILA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Good day wana JF nyoote, naomba baraka zenu wakati nikijitambulisha kwenu kwa ajili ya kusukuma maendeleo ya taifa letu mbele ndugu zang. Naomba nipokeeni kwa upendo wa bwana. gawiza bhagalu? thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello! naomba kuwasalimia wakubwa shikamooni,wadogo marahabaaaa!! mwangaluka, namnani? shimbonyi,mwakeye,wachamawe,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mpiganaji mwenzenu nimeingia rasmi jukwaani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Napiga hodi rasmi ndani ya jamii ingawa nimekuwa msomaji mzuri wa forum hii
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Jamani wana Jf me nilijiunga zamani lakini bila kujitambulisha leo nimeona ni vuzuri nijitambulishe ili tuwe pamoja jamani inchi yetu inaenda wapi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom