hi wanajamii

gudchaz

Member
Sep 1, 2010
10
0
mambo ni aje wapenda amani na maendeleo wenzangu mimi naitwa gudchaz........ningependa pia kufahamu jinsi ya kuwa premium member au senior member au expert....
 
karibu mzee..
hapa nikujaribu tu ku keep up na watu wengine...
jaribu ku answer thread za watu wengine na wewe
jaribu kuanzisha mpya
ukifikisha posts 50 utapata senior member .........
jaribu kusoma
icon1.gif
How to use JamiiForums effectively


***This' useful for those who are new on JamiiForums.com discussion boards*** JamiiForums.com is a collection of discussion boards free for you...
Started by Invisible, 13th March 2008 08:51 PM Reply | Unsubscribe


kama unashida yeyote jaribu ku m contact Mr. Invisible
take it easy, take care na karibu :smile:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom