ningependa kuwapongeza wabunge wa CHADEMA kwa uzalendo walioonyesha katika kutetea haki na usawa katika nchi hii . najua kutakuwa na maneno mengi ya kuwakatisha tamaa but keep on doing right...
Eid Mubarak wanajamii!Mimi ni mgeni katika jukwaa lenu hili,ila nimelifatilia kwa muda mrefu sana kwa kusoma fikra zenu,dira na maoni mbalimbali hivyo nami nijiunge ili nami nitoe yaliyomo katika...
Najiona kama ni mtu niliyekumbuka shuka wakati ni asb.kumekucha. Ni Mr TANO ATHANAS NCHASI. Kutoka Dodoma St. JOHN'S UNIVERSITY. Nawaomba wanaharakati tujuane jamani ili na mimi niwe active...
Ni tumaini langu kuwa mko vizuri ndugu zangu wana jf, mimi ni mgeni katika ukumbi huu na hivi leo ninaomba baraka zenu wazee na watangulizi wangu ili tushiriki kwa pamoja katika kudadavua na...
Wajameni mi ndo napiga hodi naombeni mnifungulie, nikaribisheni, sebuleni,nipeni maji ya baridi coz kuna mambo kibao, nahitaji kushare nanyi. asanteni.
at last i am on board! i expect to share and enjoy a lot in areas of local politics, education financial matters in particular, law and much more.
asante!
Samahanini wana jamii, nimepost bila kuji introduce, mimi naitwa Mr. Pascal ni mtaalam wa masuala ya TECHNOHAMA. Nimekula kwanza ndio nanawa mikono ili niendelee kula, samahanini sana.
Paaaaaaaap hadi kwa Wapendwa JF, allow me to be with u but not with JK, nilikuwa na wamasai nikiwa safarini Loliondo, nikawauliza vp uchaguzi mtampa nani kura bila kuchelewa wakatema mate chini...
Hodi hodi wana JF ma'great thinkers' a.k.a wana CHADEMA kama wengi mnavyopenda kujiita. Nikaribisheni ili nipate muongozo wa mambo ya kijamii na changamoto zake. Nategemea sana mchango wenu wadau...
wadau kwanza naomba kujitambusha kwenu kwani mimi ni member mpya. Pili nachukua fursa hii kuwapongez wote mliotumia muda na akili zenu kUfuatilia na kuchangia kwa maono ya fikra chanya kuhusu...