Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Kwa muda mrefu nimekuwa mtumiaji wa blog mbalimbali na sikuwahi kuwaza kuwa mwanachama popote. Rafiki yangu mmoja aliponiambia kama nataka mawazo mbadala na yenye tija (kwa kuwa ni anafahamu kuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Am new here and i love u all.I like the forum so much. Hodiiii!:A S-baby:
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hodi wana JF, nimekuja kwenye jamii japo nimechelewa lakini naamini sio sana. JF kweli inajenga na kurekebisha nashangaa kwanini nimechelewa kujiunga na hii jamii. Naomba wana jamii mnipokee ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nimetua sasa hivi kutoka nchi za mbali, nilikuwa sijawahi kutembelea hapa hadi jana nilipoambiwa habari za hapa kwenu! Nilifurahi sana nilipoelekezwa kwenye mjengo huu wa great thinkers...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mi. Ni mgeni kujiunga ila nimeathirika zaidi kwa kuisoma JF mara kwa mara mkoo juu mazee hata cjui nlikuwa wapi siku zote na kinachonisukuma zaidi ni hii dhuluma ambayo sijawahi kuwaza kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi waheshimiwa! Nipokeeni mwenzenu tuburudishane.
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Nafurahi sana kuwa mwanajamii,nimekuwa msomaji wa mada za humu ndani kwa kipindi chote cha uchaguzi na sasa nimeona ni vema nijiunge ili nami nichangie,naomba mnipokee.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hallo all I am glad to introduce myself as a new JF member. regards
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Jina langu ni Esta. Nimevutiwa na forum hii kwa kuwa na majadiliano na mijadala ya kila aina. Natumai nitajifunza mengi. Nina issue inanisumbua sana. Nayo ni kuhusu uchafu uliokithiri katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani hii nikutaka kujitambulisha kwamba mm ni new member. Asanteni kwa kunielewa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani hodi, tena hodi, nipokeeni basi jamani wenye mpoooooooo?? hodi mpaka ndani mbona kimyaaaa he! haya me ndo nakaa kwenye mkeka hvo nasubiri wenyeji.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nawasalimu nyote kwa Jina lipitalo majina yote! Hodi wajameni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeona ni vema kuwa sehemu ya Great Thinkers wa Jamii Forums ili kuweza kushirikiana nanyi kupaza sauti zetu kuliko kuendelea kukaa kimya huku mafisadi wakiendelea kuitafuna nchi yetu bila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waheshimiwa nashukuru kwa kuniruhusu kuingia ndani. Naomba ushirikiano wenu!
0 Reactions
2 Replies
955 Views
heshima kwenu wana jf, hivi humu ndani nikitaka kusema kitu kilicho moyoni, ambacho kina wagusa kina nanihii hakuna ma cia na ma fbi watakao ni track??? Naogopa kuangukiwa na jumba bovu mwenzenu!!!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hodi kwa wanJF wote tz, mmmm ni matumaini yangu kwamba tutakua pamoja ktk hili jukwaa la JF,maomba ushirikiano wenu na idhini yenu kuutambua uwepo wangu hapa,ahsante
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Naomba mnikaribishe japo nilijiunga siku nyingi. Nimefaidika sana na jamvi na ninategemea kuendelea kufaidika na kuwafaidisha wengine
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear JF members-ladies and gentlemen, I am the newcomer to this forum. I am glad to have this opportunity to introduce myself to you. I am Mr. Pacemaker. For the past several years that the...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi katika jukwaa la jamii, jamani Mpo? kwa pamoja nawasalimu, Hamjambo? Basi tupo pamoja.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
First of all i am apologising on the name of holy name of JF sitarudia tena in using undisqulified language which i used involunterily Haya wanajamii niliingia hapa JF yapata mwaka sasa bila ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom