Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
I was lookin' 4 somethg here thats y i'm late..Let me join with you guys..I hope we gonna share somethg 2gether...Thanx
0 Reactions
19 Replies
2K Views
hi.
Hodi, wana jamii naomba kujiunga nanyi katika kuchangia hoja. Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
953 Views
naomba wana jf mnipokee mwenzenu
0 Reactions
6 Replies
963 Views
sijui nianze kwa shikamoo!lakini hacha tu ngoja niingie.sasa nizame na viatu au niache mlangoni?
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Mimi ni mgeni JF!!Naikubali sana JF sababu ya vichwa makini!!Ni zaidi ya great thinkers!!Critical thinkers!!!Wanaangalia mambo kwa namna ya ajabu!!navutiwa sana na hili jamvi sbb sipishani sana na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi
Jamani mawaziri we2 mmewakubali
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Hodi hodi wana JF naingia kwenye familia...Great Thinkers Oyeee
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Napenda kuchukua fursa hii kujitambulisha rasmi jamvini. Ni matumaini yangu mtanipokea kwa mioyo mikunjufu.Asanteni sana.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Je, Ni CCM Ipi Hasa Iliochakachua Uchaguzi Wetu Mkuu 2010??? Wan-JF, malalamiko yako kila kona ya nchi yetu kuhusu uchakachuaji wa uchaguzi kwa njia ya aibu sana usoni mwa ulimwengu, laki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hallow every one, Hi great thinkers. Glad to join you brave people.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Thanks for inviting me to Jamii forum
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Habari wana JF! naomba nafasi jamvini na mimi niweze kutoa mchango wangu wa nguvu ya hoja. Nipokeeni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau mupoooo.hongereni kwa kuwa wa kweli kwa maslahi ya taifa hili kwa lengo la kulikomboa kutoka kwenye umaskini
0 Reactions
2 Replies
803 Views
kwanza asanteni sana kwa kunihabarisha tangu uchaguzi ulipoanza. sikujua upo upande gani. sasa najiunga rasmi na kutamka kuwa nina back up pipooz powaaa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi......this is martina.I am twenty two years old girl. I am a student of B.A final. =============================== Injury Claim
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wan-JF, malalamiko yako kila kona ya nchi yetu kuhusu uchakachuaji wa uchaguzi kwa njia ya aibu sana usoni mwa ulimwengu, laki mchakachuaji bado, ambaye mpaka sasa anadaiwa kuwa ni CCM, hatujaweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanajf. Nimeamua niungane nanyi katika jukwaa hili, ili pamoja na kujifunza kutoka kwenu, nami nipate fursa ya kushiriki kikamilifu katika mijadala inayoendeshwa ndani ya jf...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Habari ndugu zangu NImekuwa ninasoma 'threads' zinazoandikwa na jinsi ambavyo watu wako makini katika kujadili mada muhimu zenye mustakbari wa Tanzania na jamii kwa ujumla. Binafsi nimevutiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu nyote wana JF "Where we Dare Talk Openly," ni mgeni jamvini kwa maana ya kupost lakini ni mwenyeji kwa maana ya kusoma na kufuatilia mijadala mbalimbali. Jamvi hili ni muhimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow...... Jamani mimi ni MwanaIFM, nimejiunga na kile chuo pale mjini! YES katikati ya mji na naweza kusema chuo kilichopo mjini kuliko vyote na nimevutiwa na majadiliano ya humu jamvini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom