nchasi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 564
- 185
Najiona kama ni mtu niliyekumbuka shuka wakati ni asb.kumekucha. Ni Mr TANO ATHANAS NCHASI. Kutoka Dodoma St. JOHN'S UNIVERSITY. Nawaomba wanaharakati tujuane jamani ili na mimi niwe active member. Ambaye atakuwa interested hata kwa contact ni
{ 0776934915 }. Ndani ya JF tufanye mambo kuleta mabadiliko yenye matumaini. Tukiamua si inawezekana jamani.?
{ 0776934915 }. Ndani ya JF tufanye mambo kuleta mabadiliko yenye matumaini. Tukiamua si inawezekana jamani.?