Naombeni nafasi!

Yusuph Salehe

Member
Nov 12, 2010
58
1
Hodi hodi wana JF ma'great thinkers' a.k.a wana CHADEMA kama wengi mnavyopenda kujiita. Nikaribisheni ili nipate muongozo wa mambo ya kijamii na changamoto zake. Nategemea sana mchango wenu wadau nipeni nafasi
 

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,559
9,251
Hodi hodi wana JF ma'great thinkers' a.k.a wana CHADEMA kama wengi mnavyopenda kujiita. Nikaribisheni ili nipate muongozo wa mambo ya kijamii na changamoto zake. Nategemea sana mchango wenu wadau nipeni nafasi

karibu lakini umeingia vibaya, kama wengi unamaanisha nini, hao wengi unaozungumzia ni wangapi?,
mbona unaonekana umekuja kupambana zaidi ya kuelimika na kuelimisha?
 

Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,934
1,509
Unakuja na mbwembwe nyingi halafu unaleta upuuuzi nani kakuambia jf ni chadema!
Humu tupo wanachama tuliokufa wa ccm!
 

Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,521
4,963
Karibu ila angalizo ni kuwa jf si ya wana chadema tafadhali wengi wamekuwa na upotofu wa namna hiyo. jf haina chama wala si kwa ajili ya chama chochote. isipokuwa wapo wanachama wengi wa vyama mbalimbali wakiwemo pia wa chadema nikiwepo me mwenyewe tena hai nilokunywa maji ya bendera ya chadema. Naomba uingie ukielewa kuwa jf si tawi la chama chochote wala si kwa ajili ya ushabiki wa vyama but ni forum huru kwa yeyote na mwenye mtazamo wowote wa kisiasa bila kuvunja taratibu za hapa jamvini!!
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,153
9,018
karibu sana muheshimiwa....
ila taratibu kidogo yaaaahhhhh....
kwa sababu huku ndani kuna wakubwa wa CCM ,Chadema na vyama vingine vingi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom