Wanajamii Nimependa sana mijadala na uwanja huu wa jamii forum... hodi hodi waungwana
Kituku JF-Expert Member Nov 18, 2010 238 22 Nov 18, 2010 #1 Wanajamii Nimependa sana mijadala na uwanja huu wa jamii forum... hodi hodi waungwana
Gsana JF-Expert Member Aug 28, 2010 4,383 1,318 Nov 18, 2010 #2 Leo nko zamu hapa getini kuwakaribisha jf,Karibu kituku a.k.a ki white! Au sio? Karibu.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,956 12,591 Nov 18, 2010 #4 Karibu sana Kituko.........ooooops sorry........Kituku!!!
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,956 12,591 Nov 18, 2010 #5 Gsana said: Leo nko zamu hapa getini kuwakaribisha jf,Karibu kituku a.k.a ki white! Au sio? Karibu. Click to expand... ..............umesahau kumpa sheria na kanuni za nyumba hii!!
Gsana said: Leo nko zamu hapa getini kuwakaribisha jf,Karibu kituku a.k.a ki white! Au sio? Karibu. Click to expand... ..............umesahau kumpa sheria na kanuni za nyumba hii!!