Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,322
- 10,794
Kwanza naomba mnisamehe kwa kuingia jamvini bila hodi. Nilijiunga na jamvi baada ya tarehe 31 octoba ya 2010. Kilichonivutia awali ilikua ni kupata matokeo ya uchaguzi. Ila baada ya kuona michango ya wanaJF kwenye fora mbalimbali nikavutiwa na kuweza kutoa mawazo na michango yangu. Sikufuata maadili,ndio maana nimeanza kwa kuomba radhi na kujitambulisha rasmi ndani ya jamvi. Natumaini nitapokelewa ili niweze kua mmojawapo wa wanaJF katika kutoa mawazo na michango yenye malengo ya kulipeleka taifa letu mahala pazuri ambapo keki ya taifa itafaidisha na kuliwa na waTZ wote. Asanteni.