Najitambulisha kwa uhalisia

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,030
716
Mimi naitwa Mathias BYABATO Nimeamua kujiunga rasmi na jukwaa kwa kutumia jina langu kabisa

lengo ni kutaka kuaminiwa kwa yale nitaklayokuwa nikitoa bila kificho.

punde avantor yangu itakuwa na piicha yangu ,simu nk

asante
 
Karibu sana samvini!umesahau kitu cha muhimu,ni vizuri pia ukatuambia eneo halisi unaloishi,jina na picha tu havitoshi!
 
Mimi naitwa Mathias BYABATO Nimeamua kujiunga rasmi na jukwaa kwa kutumia jina langu kabisa

lengo ni kutaka kuaminiwa kwa yale nitaklayokuwa nikitoa bila kificho.

punde avantor yangu itakuwa na piicha yangu ,simu nk

asante

ni avatar....karibu lakini
 
karibu sana muheshimiwa :A S crown-1:
cant wait to see what you bring
because you do sound like a great thinker:welcome::yo:
 
Mkuu.
Naishi Bukoba,Mkoani Kagera,Tanzania

Aah! Karibu sana Nshomile... Naomba niulize cjui ni vibaya (mie na wengine tunataka kujua)
1. Una rangi gani mf. Mweusi tii, maji ya kunde au mweupe.

2. Una urefu wa futi ngapi, kiuno sentimita ngapi

3. Unakunywa kinywaji gani? Je weye ni mlevi wa pombe, au mihadarati ya aina yeyote?

4. Una mapenzi na chama kipi cha siasa hapa nchini au una mlengo gani, pia dini au dhehebu lako, je klabu ya soka uipendayo hapa nchini ni...? Ulaya je?

4. Unapendelea kutembelea maeneo gani hapa nchini Tanzania au nje ya nchi. Umeoa au unaendelea na masomo.

5. Najua we ni kijana je? Unapenda muziki wa aina gani?

6. Una neno au jambo lolote jipya zaidi ya haya nilokuuliza ambalo ukiliongeza litakuwa na manufaa hapa JF, Na yupi atakuwa rafikiyo hapa JF na kwanini na iwapo utampata unataka aweje ili kuendana na mtazamo wako?

Nakukaribisha kwa mikono, masikio, pua, macho na ngozi ili uweze kujitambua.

'KARIBIA'
 
Mimi naitwa Mathias BYABATO Nimeamua kujiunga rasmi na jukwaa kwa kutumia jina langu kabisa

lengo ni kutaka kuaminiwa kwa yale nitaklayokuwa nikitoa bila kificho.

punde avantor yangu itakuwa na piicha yangu ,simu nk

asante

ni Me ama KE
 
Karibu,

Sababu gani imekufanya ujitambulishe kwa jina na siyo kwa moniker mshua ?
 
Mimi naitwa Mathias BYABATO Nimeamua kujiunga rasmi na jukwaa kwa kutumia jina langu kabisa

lengo ni kutaka kuaminiwa kwa yale nitaklayokuwa nikitoa bila kificho.

punde avantor yangu itakuwa na piicha yangu ,simu nk

asante

unanifurahisha wakati anaigia madarakani rais nkapa alitaja malizote lakini alipoondoka atukusikia ameondokaje so hili lako kuja kamili sitakupa thnks nw maana wengine wanakuja badili huko mbele kwa jinsi upepo unavyowapeleka
 
Karibu ndani ingia, kihekima tupo wote,
Vuta kigoda kalia, Hekima tele uchote,
Nawe pate hekimika, Jamii nayo faidike,
JF yao wenye busara, Heshimu uheshimike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom