Hohohodididiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hohohodididiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mhango

Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
55
Reaction score
0
Wanajamvi sijui niwape Shikamooo kama wanauchakachuaji CCM waombapo kura au niwape CDM Oyeeeeeeeeeeee kama vile Mkuu wetu wa Nchi moyoni mwenu asalimiapo wananchi wake......anyway nabisha hodi kwa wenyewe jamani...nene ngwanangwa, namhala, itabanya balasi....Ngosha the Dong the Kikomo ya CC nyamagana...Msumali wa Masha.....Hodi jamani wenye jamvi...
 
karibu sana muheshimiwa jisikie uko nyumbani lol:A S crown-1::A S crown-1:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom