livinstonne
Member
- Nov 25, 2010
- 33
- 3
Wenye nyumba nabisha hodi rasmi leo baada ya kuwa guest kwa long time now. Naombeni mnipokee na kama chakula kipo mnipe nile....asanteni
Ahahahaaaaah hii avatar iliwahi kuwepo hapa na ilizusha mjadala mkubwa sana.Karibu lakini mbona umeingia kiivyo hiyo avatar yako ndio inafanya nini? Naona kama honda anam-do nissan au? Kwani una ugomvi na nissan?