Salaam wazalendo wenzangu, nilikuwa nawachungulia tokea zamani leo nimeamua rasmi kuingia ndani najua kwa utamaduni wa kitanzania mtanikaribisha ukizingatia nimechagua siku ya baraza jipya kutangazwa.
mh poa kijana karibu ila baraza la mawaziri halipo poa sana ni wizara 3 tu ndizo jamaa kaweka poa wizara ya mambo ya ndani Shamsi, Magufuli na labda Anatibaijuka ila huyu dada wacha nimuone zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.