Utambulisho mabibi na bwana

nyangwe

Senior Member
Oct 3, 2010
164
30
Ndugu wanamjamvi napenda kijitambulisha kwenu kama mpiganaji mpya katika jukwaa hili.napenda pia kushukuruni sana ndugu wazalendo,wataifa,wapigania na wafia maendeleo ya taifa hili kwa kuibua hoja adhimu na za msingi kwa ajili maendeleo ya taifa letu japo kuna wanajukwaa wanazipinga. ila hii ndo asili ya utu wa mtu sio lazima mkubaliane katika jamii.Pongezi za dhati ziende kwa waasisi wa jukwaa hili naamini wana maono na mipango madhubuti ya kulifanya kuwa jukwaa imara na kuaminiwa katika ulimwengu wa mtandao Tanzania na nje ya Tanzania.Tuendelee kuwaunga mkono kwa hali na mali wanapohitaji msaada

TANZANIA NIYA WATANZANIA WOTE HAKUNA MTU MWENYE HAKI YA KUSEMA NAAMUA YLINAYOWAFAA NA WATANZANIA WENGINE WAFUATE WATANZANIA LAZIMA WAAMUE MAMBO TANZANIA -BY JK NYERERE.WHY, WHEN AND HOW IS A FUCTION OF TANZANIANS
 
Back
Top Bottom