Makatibu wakuu wa serikali ya mapinduzi hawa apa kila wizara katibu mkuu mh!!!


S

smartgirly

Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
11
Likes
0
Points
0
S

smartgirly

Member
Joined Nov 24, 2010
11 0 0
Zanzibar Yateuwa Makatibu Wakuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Watendaji Wakuu katika Ofisi na Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, Dk Shein amefanya uteuzi huo kutokana na madaraka aliyopewa chini ya Vifungu 49 (1), 50 (2) na 50 (4) vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984. Uteuzi huo umeanza leo tarehe 25 Novemba 2010. Walioteuliwa ni
1. BARAZA LA MAPINDUZI 1. KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI NA KATIBU MKUU KIONGOZI
DKT. ABDULHAMID YAHYA MZEE
2. NAIBU KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI
ND. SALMIN AMOUR ABDULLA
2. OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, IKULU
1. KATIBU MKUU
ND. SALUM MAULID SALUM
2. NAIBU KATIBU MKUU (IDARA MAALUM ZA SMZ)
ND. ABDULLA JUMA ABDULLA
3. NAIBU KATIBU MKUU (USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA URATIBU WA SHUGHULI ZA WAZANZIBARI WALIOPO NCHI ZA NJE)
ND. SAID ABDULLA NATEPE
4. NAIBU KATIBU MKUU (TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA)
ND. MWINYIUSSI ABDULLA HASSAN
3. OFISI YA RAIS (FEDHA, UCHUMI NAMIPANGO YA MAENDELEO) 1. KATIBU MKUU
ND. KHAMIS MUSSA OMAR
2. NAIBU KATIBU MKUU (FEDHA)
ND. ABDI KHAMIS FAKI
3. KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO
ND. AMINA KHAMIS SHAABAN
4. OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
1. KATIBU MKUU
ND. JOSEPH ABDULLA MEZA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. YAKOUT H. YAKOUT
5. OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS
1. KATIBU MKUU
DR. OMAR D. SHAJAK
2. NAIBU KATIBU MKUU
DKT. ISLAM SEIF SALUM
6. OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS
1. KATIBU MKUU
DR. KHALID SAID MOHAMED
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. SAID SHAABAN SAID
7. WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
1. KATIBU MKUU
ND. ASAA AHMADA RASHID
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. ABDULGHANI MSOMA
8. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
1. KATIBU MKUU
ND. MWANAID SALEH ABDULLA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. ABDULLA MZEE ABDULLA
9. WIZARA YA AFYA 1. KATIBU MKUU
DR. MOHAMMED SALEH JIDAWI
2. MKURUGENZI MKUU
DR. MALICK ABDULLA JUMA
10. WIZARA YA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO
1. KATIBU MKUU
DR. VUAI IDDI LILA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. MSANIF HAJI MUSSA
11. WIZARA YA USTAWI WA JAMII, NA MAENDELEO YA VIJANA, WANAWAKE NA WATOTO
1. KATIBU MKUU
ND. RAHMA MOHAMMED MSHANGAMA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. MSHAM ABDULLA KHAMIS
12. WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO
1. KATIBU MKUU
ND. ALI SALEH MWINYIKAI
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. ISSA MLINGOTI ALLY
13. WIZARA YA ARDHI, MAKAAZI, MAJI NA NISHATI
1. KATIBU MKUU
ND.MWALIM A. MWALIM
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. TAHIR M. K. ABDULLA
14. WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO
1. KATIBU MKUU
ND. JULIAN RAPHAEL
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. RASHID ALI SALIM
15. WIZARA YA KAZI, UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI NA USHIRIKA
1. KATIBU MKUU
ND. ASHA ALI ABDULLA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. ALI KHAMIS JUMA
16. WIZARA YA KILIMO NA MALIASILI 1. KATIBU MKUU
ND. AFFAN OTHMAN MAALIM
2. NAIBU KATIBU MKUU (KILIMO)
ND. JUMA ALI JUMA
3. NAIBU KATIBU MKUU (MALIASILI)
DR. BAKARI S. ASSEID
17. WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
1. KATIBU MKUU
DR. KASSIM GHARIB JUMA
2. NAIBU KATIBU MKUU
DR. OMAR ALI AMIR
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, wotee hao walioteuliwa wanatarajiwa kuapishwa kesho Ijumaa tarehe 26 Novbemba 2010 saa 8.00 za mchana, katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.
 
M

Matarese

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2009
Messages
521
Likes
13
Points
35
M

Matarese

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2009
521 13 35
Oh!, Poor Africans!
 
Monstgala

Monstgala

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Messages
1,083
Likes
152
Points
160
Monstgala

Monstgala

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2009
1,083 152 160
Hizi wizara zote zanzibar kwa bajeti hii hii ya kutegemea wafadhili?? twafa!!!
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,329
Likes
4,818
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,329 4,818 280
Ungeipeleka kuleee kwenye siasa.
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,081
Likes
376
Points
180
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,081 376 180
naona akina ustaadhi tu sijaona mapadre na wachungaji imekaaje hapa?au hiki chama ni cha dini fulani?
 

Forum statistics

Threads 1,235,738
Members 474,742
Posts 29,233,162