SmartGirly

smartgirly

Member
Nov 24, 2010
11
0
:target:Watanzania tuwacheni kasumba wakujifanya sisi ni wakamilifu tuache tabia hiyo:target: kosoa panapotokea kosa usikosoe kabla ya kutendeka kosa:A S clock: hakuna alozaliwa kuwa anajuwa na hakuna somo la kusomea Uwaziri wala Urais:target: Uongozi ni matendo mema:target:
 

LeopoldByongje

JF-Expert Member
Apr 28, 2008
372
13
Hakuna ubishi na hilo. Tatizo ni uteuzi wa waliokuwa na sifa mbovu, wenye record za ufisadi, mabaladhuli nk.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom