Hamjambo wana jf:wazee nao tupo

Nov 27, 2010
16
1
Cv:
Jina msomi wazama
umri:nimezaliwa 1942,tabora
1960-1962:cheti cha kilimo nyegezi mwanza
1957-1960:middle school sikonge tabora
1953-1957:elimu ya msingi
uzoefu wa kazi/uongoza
2005 hadi leo:mkulima wa fegi,mshauri binafsi kilimo
,msikiliza redio ,mhudhuria misiba na harusi mzuri,kutembelea jf
2000-2005:mwenyekiti serikali ya kijiji
1995-2000:mwenyekiti chama cha msingi kijijini kwangu
1996-1999:afisa ugani dimon tabacco
1972-1996:afisa ugavi wizara ya kilimo na mifungo(nimefanya kazi kama bwana shamba vijiji mbalimbali
mafanikio
1958:nimekuwa kiranja na mtunza stoo wa shule(nikiwaongoza waheshimiwa sitta na kapuya)
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,769
4,032
Karibu sana mtaalamu,nimeipenda CV yako!ulishawahi pia kuwa mjumbe wa nyumba kumi wa CCM,maana CV yako inaendana na cheyo hicho!
 

roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,366
93
karibu,i hope utakuja na maujuzi na mauzoefu kibao ambayo wengine tuko tayari kujifunza...

welcome!:A S crown-1:
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
50,116
71,952
Mmmmm walah kama huyu sio MAKAMBA basi atakua CHILIGATI!!!! Nilishawaambia vile vidingi vimo humu ndani ila Makamba hua anatabia ya kubadili ID kila siku!!
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
50,116
71,952
Mmmmm walah kama huyu sio MAKAMBA basi atakua CHILIGATI!!!! Nilishawaambia vile vidingi vimo humu ndani ila Makamba hua anatabia ya kubadili ID kila siku!

Nimepata habari kua huyu ni lazima atakua Kapuya
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,150
9,097
duuuhh kwa kweli jila lako linaendana na maelezo...
karibu sana muheshimiwa
 

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,956
12,591
Mmmmm walah kama huyu sio MAKAMBA basi atakua CHILIGATI!!!! Nilishawaambia vile vidingi vimo humu ndani ila Makamba hua anatabia ya kubadili ID kila siku!

Nimepata habari kua huyu ni lazima atakua Kapuya
Ahahahahaahhhh nao pia wana haki ya kuwepo hapa Elli.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom