Hodi wanaJF! Nimekuja kuwashika!

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Hello wanaJF! mambo zenu? Anyway hatimae niko in ze house.
Nitapenda kushirikiana na ninyi ktk topic mbalimbali pale panapobidi kufanya hivyo!

Ahsanteni!
 
mie nimevaa jinsi na mkanda kama mke wa ndugu mmoja hapa jamvini..lol
Karibu!
 
Chuma cha reli au cha pua?
Bora wewe unayeshika chuma, kuliko wale wanaoshika pembe.
Karibu sana kama u mpya, kama mzoefu aluta continua.
 
Karibu ila angalia usije shika ukuta mana umepakwa rangi na haujakauka.
 
Karibu sana mkubwa. Ila usishike kwa mikono utaungua maana pamoto hapa.
 
Ohoooo huuu ni mtambo wa Chuma haushikiki... all in all karibuu sanaaa kwenye jamvi hili la CDM
 
Back
Top Bottom