Hodi hodi wana JF

Nyahende Thomas

Verified Member
Nov 5, 2010
212
195
Wadau wa JF,
Napenda kutumia fursa hii kujitambulisha kwenu rasmi. Nimekuwa nikishiriki kwenye jukwaa hili kama mgeni, lakini sasa nimeamua kwa dhati kabisa kuwa mwanachama.
Nimekuwa nikivutiwa sana na namna watu wanavyokuwa huru kutoa mawazo yao na jinsi yanavyojadiliwa aidha kwa kuungwa mkono ama kwa kupingwa lakini yote ni kwa nia moja tu, kuelimishana, kusaidiana, kuelekezana na kukosoana.
Hivyo basi ni matarjio yangu kwamba nitapata ushirikiano wa kutosha toka kwa wakongwe wa jukwaa hili.
Viva JF.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom