Najitambulisha kwenu

J.Mwesiga

New Member
Nov 23, 2010
1
0
Hodi hodi wenyeji, wanfamilia wa JF..

Najitambulisha kwenu, mimi mgeni mpya wa familia hii kubwa. kijana wa kiume nnayejulikana kwa jina la mwesiga.

Nashukuru sana kwa kunipokea
 
KARIBU MWANETU Mwesiga hapa ndio jf chunga usiumwe na mbu na ukapata malaria sugu karibu
 
Karibu naona umeingia vizuri, nasubiri post yako ya piliili nielewe msimamo wako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom