Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wadau, nimepanga kulima nyanya mwaka huu, nataka nitakazouza muda wa kuanzia mwezi wa 11 mpaka muda huu naomba mnishauri kwa yafuatayo; 1. Nianze kufulia mbegu lini 2. Nianze kulima lini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania imezungukwa na maziwa makubwa yenye maji mengi kama vile ziwa Victoria , ziwa Tanganyika, Ziwa nyasa nk. Mara kwa mara viongozi wetu wamesikika wakisema tutumie maziwa haya kwa kilimo cha...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Nilikuwa nimelima mahindi ekari 2, Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata gunia 6. Nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka...
25 Reactions
79 Replies
5K Views
Habarini wana jamvi, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka, napenda kujua ni water pump nchi ngapi inayoweza kupeleka maji mitaa 400 au zaidi kwenye eneo lenye mwinuko wa wastani?. Sent from my...
2 Reactions
1 Replies
749 Views
Mbunge Kavejuru Felix: Biashara ya Kaboni katika Misitu ya Asili/Kupanda Imechangia kiasi gani kwenye Pato la Taifa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Kilimo ni sekta moja mihumu na chimbuko la sekta nyingine zote, kilimo huzifanya sekta nyingine kuwa endelevu endapo kina kuwa hai na endelevu. Vijana tunashindwa kuimudu sekta ya kilimo kutokana...
0 Reactions
5 Replies
673 Views
Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza...
2 Reactions
2 Replies
591 Views
Members wakulima na wazoefu wa hayo mazao, Naomba kuelewa kama muongozo kwa ufupi mapato ya wastani kwa mwaka kwa kila zao hapo juu. Naomba tu share uzoefu wetu kwa manufaa yetu sote.
0 Reactions
17 Replies
8K Views
EDITED Nimeanza rasmi may 2 2023 Habari wapendwa mimi engineer by profesional pia ni mjasiliamali hua najishighulisha na kilimo na ufugaji tangu nimalize chuo sikuhitaji ajira kivile ingawa...
9 Reactions
75 Replies
11K Views
Nahitaji ushauri wa kitaalamu namna ya kuanzisha ufugaji samaki nyumbani asante sanaaa
0 Reactions
9 Replies
816 Views
"Je, lini Serikali itawalipa mafao wastaafu wa shamba la Kapunga Wilayani Mbarali lililokuwa linamilikuwa na NARCO? - Mhe. Bahati Ndingo, Mbunge wa Jimbo la Mbarali "Wakati wa ubinafsishaji kati...
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajf Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku! Msimu huu nimebahatika kupata pumba ya kutosha! Ninaomba anayejua namna nzuri ya kuihifadhi ili niitumie au hata kuiuza hapo baadae ninaomba anijuze! Lengo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Inahitajika mashine ya kutotoa vifaranga. Sifa za lazima: Iwe inatumia umeme wa Tanesco na Ikiwezekana umeme wa jua. Iwe inayogeuza mayai (Automatic). Iwe imara
1 Reactions
1 Replies
861 Views
Habar za kazi wana JF naomba kujua kuhusu kilimo cha hili zao Je, mbegu zake zinaweza kupatikana wapi? Je, soko lake lipoje na linawez kustaw maeneo ya baridi kama vile Njombe na Iringa...
3 Reactions
44 Replies
53K Views
Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia. Vigezo! 1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumai mko vema nilikuwa nahitaji kuanza biashara ya maharage mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake. Mwenye uzoefu karibu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello JF. Nimeanza uzalishaji wa mchicha lishe miezi michache iliyopita hapa Kyela mjini. Takribani kola kitu kinaenda sawa. Mimi hutumia samadi na kuvuna mchicha kila baada ya siku 15 - 20...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wadau wa jukwaa hili kama ujumbe wangu jinsi unavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana ambaye kitaaluma ni fundi umeme, ila nimejikita kwenye ufugaji kwa muda sasa hasa ufugaji wa kuku kienyeji...
3 Reactions
0 Replies
460 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…