Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea kuwahamasisha wawekezaji katika sekta ya uvuvi kuzingatia matumizi sahihi ya Sayansi na Tafiti za uvuvi katika kusimamia ubora na uzalishaji...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Naomba kujua huu ni ugonjwa au la na je dawa yake ni nini
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Huu ni mpango wa mkoa wa Pwani kugawa maeneo ya uwekezaji kwa ajili ya kufugia na kulima malisho(Min Ranch)ambapo kila mfugaji au mfugaji mtarajiwa atapewa ekari 125 sawa na hekta 50. Masharti...
2 Reactions
7 Replies
396 Views
Anonymous (3762)
Vyama vya baadhi ya wakulima (AMCOS) katika Wilaya yetu ya Tunduru vinakabiliwa na changamoto ya viongozi wanaohusika na ubadhirifu wa mali za vyama na kutuumiza wakulima. Baadhi ya viongozi...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Unamfahamu Ayrshire? Huyu ni ng’ombe wa maziwa mwenye mchanganyiko wa tija kubwa, maziwa bora, na uvumilivu wa hali ya hewa ya Tanzania! Sifa Kuu za Ayrshire: Hutoa lita 20–30 za maziwa kwa siku...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari wafugaji Leo napenda kuwaletea somo juu ya aina ya mbegu za ng'ombe wa maziwa.karibi sana uwe kujifunza ✅AINA ZA MBEGU ZA NG'OMBE WA MAZIWA; --- Breed za Ng’ombe wa Maziwa (Dairy Breeds)...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mida Nahitaji mjasiriamali mfugaji wa kuku wa kisasa wa mayai Arusha ani supplier mayai kwa jumla imi niko Arusha Mjini, Karibu sana tufanye kazi pamoja
1 Reactions
3 Replies
328 Views
"Hili si boksi la kawaida. Ndani yake kuna mamia ya vifaranga ambao bado hawajaanguliwa." Niliposema maneno hayo mbele ya kundi la wafugaji waliokuwa wamekusanyika sokoni, baadhi walitabasamu kwa...
3 Reactions
9 Replies
314 Views
Habari wakuu, ninatarajia kufungua kiwanda kidogo cha utengenezaji wa vyakula vya mifugo hivyo nipo kwenye utafiti wa kuwatqmbua suppliers wa ingredients mbalimbali za kuchanganya kutengeneza cha...
2 Reactions
19 Replies
240 Views
MWASENDA CHUO CHA MAABARA, KITAFUNGULIWA KWA MUHULA WA MASOMO 2014/15 KATIKA KOZI YA MEDICAL LABORATORY ASSISTANT. CHUO KIPO NYASAKA JIJINI MWANZA. MUDA WA KOZI NI MIAKA MIWILI (2). SIFA...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Ndugu wanajamvi naombeni msaada kati ya Mbolea ya NPK na CAN ipi nzuri zaidi
0 Reactions
19 Replies
43K Views
Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA) Blobfish Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote. Blobfish Ni samaki...
14 Reactions
86 Replies
64K Views
Anonymous
Habari, Naomba kufahamu ni kwa nini ushuru wa kusafirisha mazao unatofautiana kati ya halmashauri, huku tofauti hiyo ikiwa kubwa licha ya kuwa ni zao la aina moja. Kwa mfano, kusafirisha mchele...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu naombeni anae jua kilimo Cha korosho kinaendeshwaje, bei ya korosho, jinsi ya kuongeza thamani nk
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini wadau. Nimepata kamtaji hapa ka 10m, Nina eneo la ekari mbili Mkuranga. Enyi wajuvi. Naombeni msaada kwenu. Ufugaji upi unalipa kati ya samaki sato au kuku wa kisasa? Naomba maoni yako hapa.
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Cha kwanza ambacho nataka kujua ni kuhusu ujenzi wa banda. Nahitaji banda ambalo kukubwatajua wanaishi humo mchana na usiku, lenye usalama ambalo halitavunjwa kiurahisi na wanyama kama fisi au...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Kilimo cha mjini kinakua kwa kasi, watu wanakuza mimea kama mboga za majani hadi matunda kwenye ndoo, mifuko ya cement iliyotumika na chochote chenye nafasi ya kuingia udongo. Kuna mifuko...
2 Reactions
1 Replies
167 Views
Wanajamii. Ni nani aliyewaambia mtu akiwa mtumishi wa serikalini ana hela. Maana hili suala limekuwa seriously kuanzia tar 23 simu za ndugu marafiki kuomba elfu 5,10 zimekuwq nyingi sana...
1 Reactions
9 Replies
218 Views
Karibu wanaJf, Shamba linauzwa Nzogole,Mpakani mwa Bahi na Dodoma mjini.Lina ekari 2.4,lakini nimechukulia kama ekari2! Linafaa Kwa kupima viwanja, Kulima Mtama,Alizeti,Ufuta nk . Ni ukanda pia...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Back
Top Bottom