Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wakulima wenzangu, Kampuni ya Kinasoru East Africa (T) Limited inauza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 400 ambalo lilinunuliwa kidogo kidogo kutoka kwa wakulima tofauti kwa ajili ya...
3 Reactions
4 Replies
285 Views
Hello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali...
3 Reactions
20 Replies
786 Views
Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya kufugia kuku wa nyama (broiler) yenye uwezo wa kuanzia kuku 1,000 au zaidi. Maeneo ninayopendelea ni Dar es Salaam na Pwani. Ikiwa una banda linalopatikana...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Cocoa hustawi katika maeneo yenye hali ya hewa ya joto kiasi na mvua nyingi au unyevu kutokana na uwepo wa chanzo kikubwa cha maji iwe mto mkubwa au ziwa au Bahari. Maeneo yanayofaa zaidi ni...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Tunataraji kuwepo Nane nane Arusha na Spicies tofauti tofauti za miche ya matunda uanayoweza lima kibiashara ama kwa matumizi yako ya nyumbani yaani Home use. Kama uko kanda hii ya kaskazini...
5 Reactions
6 Replies
188 Views
Jamani habarini wana JF. Niko mbioni kufunga drip irrigation system shambani kwangu. Nimeona niachane na miradi mingine kwanza nikomae na hili. Nataka nilime vitunguu saumu kwa shamba lenye...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Kama unadeal na ukulima nyanya Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
1 Reactions
3 Replies
277 Views
Habari ndugu zangu,napenda kuwaeleza kile kilichotokea Hadi kuto kupatikana hapa jukwaani. Nilipotea hapa jukwaani kwa muda mrefu baada ya kutoa post yangu iliyo zungumzia shuhuda ya safari yangu...
6 Reactions
8 Replies
268 Views
Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi. Kwa nini? 1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona...
8 Reactions
13 Replies
387 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza anayejua zibapopatikana aniambie.
4 Reactions
24 Replies
472 Views
Wakuu, Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!! Nataka nifuge hivi sasa! Kwa...
14 Reactions
54 Replies
1K Views
Baada ya hoja ya Mdau , kuandika Vyama vya USHIRIKA vinavyonunua mazao Lindi hasa Kilwa wafanyakazi wake wanazungusha malipo ya Wakulima ufafanuzi umetolewa na mamlaka zinazohusika: Mwenyekiti wa...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Anonymous
Tunapaza sauti yetu kwa heshima kuhusu ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi kutoka kilo 50 hadi kilo 75. Uamuzi huu umetuletea changamoto kubwa sana sisi wafanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Anonymous
Kwema! Mimi ni mwananchi na mkulima kutoka Wilaya ya Urambo, Mkoa wa Tabora. Tunaomba sauti yetu isikike kuhusu mgogoro mkubwa unaoendelea katika biashara ya tumbaku msimu huu. Hali ni mbaya...
3 Reactions
3 Replies
324 Views
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni sekta muhimu sana Kwa ustawi wa viumbe hai wa Leo na Kesho. Kilimo, Ufugaji, na Uvuvi haviwezi kuleta tija kama Mazingira hayatunzwi na kuhifadhiwa vizuri. Mfano...
2 Reactions
3 Replies
120 Views
Samaki wanasaidia kuleta mbolea yenye gesi kustawisha mazao kama mipunga,mazao ya kumagria kama maji yake ukiweka kwenye majabari ya mpunga. Hii mbengu ni aina ya kambale ila mtanishukuru inaitwa...
7 Reactions
11 Replies
402 Views
KILIMO KAMA SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA TANZANIA: USHAURI KWA SERIKALI KUJENGA TAIFA LA WAAJIRI KUPITIA SEKTA YA KILIMO. Utangulizi Tatizo la ukosefu wa ajira limeendelea kuwa moja ya...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Mimi ni mkulima, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu kupanda kwa bei ya mbolea, hasa Urea na NPK. Kwa sasa hali imekuwa ngumu sana kwa wakulima kwa sababu hakuna bei inayofanana wala kufuatwa...
1 Reactions
3 Replies
298 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Kanda ya Ziwa imewakamata wafanyabiashara wawili mjini Bariadi, mkoani Simiyu, kwa tuhuma za kuuza mbolea za ruzuku kwa bei tofauti na ile...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
Habari zenu. Nimepitia kwenye mitandao mingi ya kijamii katika majukwaa ya wakulima naona ni vilio tu. Wakulima wanalia sana juu ya bei mbovu za mazao yao hususani nafaka. Bei zipo chini sana...
4 Reactions
32 Replies
661 Views
Back
Top Bottom