DOKEZO Ufisadi Chama Cha ushirika Tunduru (TAMCU)

DOKEZO Ufisadi Chama Cha ushirika Tunduru (TAMCU)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Chama Cha ushirika Tunduru TAMCU viongozi wanatumia vibaya madaraka, wanapeana posho mlima Kama juzi hapa chama kilifanya kikao na wajumbe wa TAMCU ukumbi wa Skyway uliopo Tunduru bageti wametumia zaidi Milioni mia Nne na ushee (400)hiyo kwa siku mbili.

Naomba Waziri wa kilimo Chunguza madudu yaliopo Tunduru kupitia chama kikuu Cha Ushirika (TAMCU) viongozi wanatumiza Wakulima kwa faida yao.
 
TAMCU inachukua stahiki zetu Katika malipo ya minada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom