thaddeus
Member
- Jun 22, 2013
- 15
- 3
Habari
Ninafikiria kuhusu kufanya mradi wa ufugaji wa mbuzi, kondoo na ng'ombe wa kienyeji katika shmba kuliko likae idle. Wazo nililonalo ni kuanza na mbuzi jike 15 wa kienyeji na dume moja chorata (Malya Blended kutoka TALIRI) pia kondoo jike 10 na dume mmoja.
Kwa upande wa ng'ombe ninasubiri kiangazi kuja kufanya unenepeshaji kwani shamba langu lilipo kipindi cha kiangazi ng'ombe hupatkana kwa bei nzuri. Hivyo nina mpango wa kununua pumba na mashudu msimu huu wa mavuno ili ya matumizi zaidi kipindi cha kiangazi. Aidha, nikiwa nasubiri kiangazi ninafikiria kununua ndama kama 20 kwa ajili ya kuchangamsha kambi kwani malisho ni mengi maeneo yale na zaidi mfanyakazi autendee haki mshahara ninao mlipa.
NAOMBA USHAURI WA KINA KUTOKA KWA WAZOEFU WA UFUGAJI.