emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,096
- 1,607
Nimeona wauzaji wa mbegu kwa ajili ya chakula wakiuza hizi mbegu za maboga zenye rangi ya kijani zinazotoka India. Hizi mbegu wameziachakata hivyo hazifai kuotesha
Nani anajua wapi zinapatikana zinazofaa kuotesha. Soko lake baada ya mavuno liko vip, mje mtupe ABC
Nani anajua wapi zinapatikana zinazofaa kuotesha. Soko lake baada ya mavuno liko vip, mje mtupe ABC