KERO Responded Kupanda kwa mbolea ya ruzuku

KERO Responded Kupanda kwa mbolea ya ruzuku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mbolea (Fertilizer) ni byproduct ya Petroleum refinery. Mafuta yakipanda bei duniani na mbolea lazima ipande
 
Kwenye mbolea ya SA na CAN hazina ruzuku tena.

Mbolea zenye ruzuku ni DAP, NPS, TSP, UREA , FOMI OTESHA, YARA OTESHA.
 
Back
Top Bottom