Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu, Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
BIASHARA YA KUNENEPESHA NG’OMBE,MBUZI NA KONDOO KISHA KUWAUZA ( CATTLE AND GOAT FEEDLOTS Habarini wana Jamvi naomba kushare hili jambo kidogo tupate elimu,ushauri na changamoto zake. Kuna Hii...
8 Reactions
28 Replies
654 Views
Wataalamu wa kilimo cha vitunguu maji naomba uelewa juu ya kilimo hicho maana nimepitapita vijiji vya mkoani Tabora nikakutana na zao hili. Naomba somo, soko na biashara yake ilivyo!
5 Reactions
14 Replies
447 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ haijalipa fedha za stahiki kwa wakulima na wafugaji walioshiriki katika Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi-Njiro, Arusha, kuanzia tarehe...
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Salam Wana JF Nimekuwa nkifatilia Kwa Muda kilimo Cha Mpunga, japo sjaingia rasmi. Mwaka huu nmenunua Mpunga kwa wakulima na kuweka store nkisubiri bei zipande niuze nipate faida. Nahitaji...
7 Reactions
24 Replies
461 Views
Yes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa. ANGALIZO Lengo la uzi huu mbali na kushare uzoefu , ni kuwatia moyo wale ambao huenda wana ndoto ya kufanya...
30 Reactions
105 Replies
2K Views
Hamjambo WanaJamii Kero kubwa kwa mkulima hasa pale anapokua akihesabu 'vifaranga', ni wadudu wanaokula mazao yanapohifadhiwa. Swala hili limekera tangu binadamu wa kwanza kugundua kuhifadhi...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Nimekuwa nikitumia power tiller kwa muda wa miaka miwili sasa. Nimeona mafanikio makubwa sana kwa sisi vijana na hasa tunaopenda kilimo cha mpunga. Hata hivyo, nimeamua kuiuza baada ya kukosa...
2 Reactions
3 Replies
184 Views
Kuna jambo moja ambalo wafugaji wengi wanaoanza kufanya utotoleshaji wa mayai kwa incubator za kutengeneza wenyewe hulipuuza, lakini ndilo linaloamua kama mayai yatatotolewa au yataharibika...
4 Reactions
4 Replies
412 Views
Habari ndugu wanajamii, Nina kitoto cha mbwa umri miezi mitatu toka juzi ni kagonjwa hakataki chakula, kamelegea, kanalala TU, kalitapika juzi usiku naomba ushauri dawa Gani nitumie
8 Reactions
65 Replies
564 Views
Watu ukiwaeleza unaona kama masihara embu jaribu kulima mbaazi uje ulete mrejesho hapa zao zuri kabisa palizi mara moja unafeli WAPI? OTESHA.
7 Reactions
65 Replies
5K Views
Ng'ombe huyu ana asili ya Brazil anatokana mchanganyiko wa ng'ombe wa asili Gyr na Friesian. Anasifika kwa kutoa maziwa mengi Girolando jike aliyezaa mara ya kwanza anaweza kutoa hadi lita 18 kwa...
9 Reactions
21 Replies
579 Views
Karanga pori,asili yake ni Australia.Mti wa karanga pori unatokana na jamii ya mimea ya proteaceae,aina zote zinalika ambayo mimea yote miwili ni Macadamia intergrifolia na Macadamia tetraphllya...
3 Reactions
446 Replies
148K Views
Habarini... Kuna kijana mzoefu na mchapakazi sana mwenye ujuzi wa kilimo cha kisasa cha mazao ya mbogamboga pamoja uzoefu wa kutosha katika ufugaji wa kuku wa kienyeji, Anatafuta mdau mwenye...
2 Reactions
8 Replies
380 Views
Anonymous
1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa? 2. Je, wakulima wanahudhuria na kujifunza kupitia maonesho haya 3. Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wakulima wanashiriki...
7 Reactions
7 Replies
168 Views
Wasalaam, Je, umeshawahijiuliza njia rahisi ya kutoka kimaisha kutokana na kilimo? Basi leo nataka nikuletee jibu la swali lako. Kama wewe ni kijana mwenye ndoto za kutoka kimaisha basi pata...
21 Reactions
66 Replies
6K Views
Habari wakuu, Hembu wazoefu wa kilimo,nipeni ushauri huu. Kwanza angalizo la mwazo:- Miti hiyo ni kama decoration,badala ya kuwa na mauwa kwenye Nyumba,nimeamua iwe ni Royal Fruits House of my...
3 Reactions
55 Replies
30K Views
Habarini wafugaji,nimepitia nyuzi nyingi humu ndani. Ufugaji wa kuku,Bata na ng'ombe umezungumziwa kwa kiasi kikubwa sana, nyuzi hizo zimenisaidia katika mradi wangu wa ufugaji. Kwa sasa nataka...
24 Reactions
279 Replies
68K Views
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea kuwahamasisha wawekezaji katika sekta ya uvuvi kuzingatia matumizi sahihi ya Sayansi na Tafiti za uvuvi katika kusimamia ubora na uzalishaji...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Back
Top Bottom