Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Heshima kwenu viongozi wangu. Wakuu natumai hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa taifa letu. Wakuu baada ya kusikia wengi wetu wakisifia sana kilimo cha vitunguu nikapata muamka...
14 Reactions
99 Replies
26K Views
Mambo bipi waungwana, poleni na majukumu, Naomba msaada waungwana nataka kufungua kibanda kuuzia umeme wa luku wa Tanesco moja kwa moja naomba utaratibu mwenye ujuzi na uelewa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ni mjasiliamali mdogo, nasindika vyakula. Muongozo wa kupata barcode upoje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mwenye uwezo wa ku supply plumbing material, stationary items kwenye makampuni makubwa au maofisi makubwa aje PM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutakuwa na matembezi ya elimu kwa ajili ya kujifunza ufugaj1 wa kisasa wa Sungura na kuku maeneo ya Arusha mjini na nje ya mji kidogo ili kujifunza yafuatayo. Siku ni Jumamosi au Jumapili yan...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Tafadhali mwenye ujuzi na uzohefu wa hii biashara naomba mwongozo,ikiwa ni pamoja na ni wapi unaenda kuzisajili? Asante wanajamvi
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna kifaa cha ku-control joto katika mashine za kutotolea vifaranga kinaitwa temperature control,Vifaa hivi vimekuwa gharama sana ambapo imekuwa ikiwalazimu baadhi ya mafundi kuagiza kifaa hicho...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natafuta Mbegu za Cherry Tomatoes, je kuna mtu anae eza nisaidia?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jambo wadau, Naomba nipate mawazo yenu juu ya hii biashara ya kutuma na kupokea pesa kwa njia ya mitandao ya simu nataka nianze kufanya hii biashara, naomba nijue faida Inapatikanaje.?
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Naomba msaada wa ushauri waungwana.Ni biashara gani ukipeleka haya maeneo inalipa sana.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Mimi nikijana nina kiasi hicho cha pesa nataka anzisha biashara lakini nashindwa jua ipi itanifaa kulingana na mtaji huo lakini pesa ya kula na kulala ninayo mtaji tu ndio mil 2.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu, nipo kwenye mchakato wa kuchimba kisima cha maji ambapo sehemu husika hakuna umeme. Nataka mara uchimbaji utakapokamilika ninunue pampu itakayonisaidia kuvuta maji kutoka kisimani na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Natafuta nose au half cut ya hiace dungu. Mwenye nayo anitani pm na bei yake na picha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mwaka huu 2015 umekuwa tofauti sana na mwaka jana wa 2014. Soko la kitunguu limekuwa gumzo mwaka huu, mkulima kauza gunia moja la kg 100 mpaka Tsh. 250,000 shambani wakati mwaka wa jana...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Tembelea hapa ufugaji.co.tz TOVUTI YA UFUGAJI ni tovuti iliyobadilishwa kutoka blogu ya SEKTA YA MIFUGO TANZANIA iliyoanzishwa mnamo mwaka 2012 kwa lengo la kumuelimisha mfugaji au mtu anayetaka...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Sio kila biashara unayofanya itafikia mafanikio makubwa unayotarajia. Biashara inaweza kusua sua na kukusumbua sana. Na wakati mwingine biashara inaweza kwenda kwa hasara na mwishowe kufa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji kufanya biashara ya vitenge toka Congo na Malawi ananyeweza kunipa link ya jinsi ya kupata vitenge huko kuleta Makambako.
0 Reactions
18 Replies
16K Views
Habari ndugu zangu, leo naomba nami niongee neno katika uwanja huu wa kijasiriamali, Mimi ni mhitimu wa Degree ya Uhasibu miaka 3 iliyopita, tangu kipindi hicho chote sijapata ajira ya kudumu na...
15 Reactions
79 Replies
18K Views
habari wakuu nataman sana kuuza magazeti ila nimekosa mtu wa kunielewesha jinsi ile biashara inavyofanyika. eneo la kuuzia ninalo tayari naomba anaeijua vizuri hiyo biashara anielimishe
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF. Napenda sana kufanya biashara ya kuuza vitabu( book shop). Nahitaji kujua mbinu, changamoto, ushauri na masoko.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom