Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

Finishing ya Nyumba kwa ndani kutumia mbao!

Jason Smith

Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
11
Reaction score
6
Ndugu wadau, kwakutumia aina yeyote ya mbao, nafanya finishing ya ndani kutumia mbao zilizotengenezwa kwa mashine maalum ya kazi hiyo!

Bei hutokana na aina ya mbao mteja atakayo itaka itumike kwenye nyumba yake, na idadi ya mbao zitakazotumika kwa aina ya urembo!

Nichek 068 281 8787

Karibuni Sana!
 
Attachments

  • 1308eb727fbaa5f39a2331fb1abd2f33.jpg
    1308eb727fbaa5f39a2331fb1abd2f33.jpg
    16.1 KB · Views: 974
  • 4364216440_9221a8cc53.jpg
    4364216440_9221a8cc53.jpg
    7.8 KB · Views: 896
  • b563f1a9f1a3290647d2f99cb2817bae.jpg
    b563f1a9f1a3290647d2f99cb2817bae.jpg
    12.9 KB · Views: 755
  • images.jpg
    images.jpg
    4.8 KB · Views: 700
  • IMG_20150831_185040.jpg
    IMG_20150831_185040.jpg
    37.6 KB · Views: 772
Kazi nzuri inapendeza Sana Kumbe haya magogo yanayovunwa na kupelekwa nje hata hapa kwetu ni dili kubwa
 
Mkuu hizo picha hapo juu kama ni kazi yako mwenyewe hongera sana. Uzidishiwe kwa kazi ya mikono yako
 
Kazi nzuri inapendeza Sana Kumbe haya magogo yanayovunwa na kupelekwa nje hata hapa kwetu ni dili kubwa

Tunachokikosa hapa nchini ni finishing tu mkuu! Tukiwa na mitambo na ujuzi wakuzipa rasilimali zetu ubora, tunaweza hata kuuza nje final product kuliko kuiagiza iliofanyiwa finishing nje!
 
Very good Job.

Ila mkuu kwa uzoefu wa kujua nyumba hizo ni kwamba inahitaji mmiliki awe makini na usafi wa nyumba yake,
Maana kama umaridadi haupo,unaweza kuona Jongo na Tandu wanachomoka kwenye Mbao haooooo

Ila zinavutia saana kwenye nyumba
 
Mkuu Ahsante!

Kikweli sio rahisi kuona jongoo akitokezea nyuma kwani mbao ina wamba kabisa ukutani na kunakuwa hakuna space yeyote kuruhusuu hivyo viumbe!
 
Mkuu nimependa kazi yako! Nikipata kazi nitakutafta utie mbwembwe kwenye kipagare changu.
 
Ila tahadhari ya moto izingatiwe. Mara nyingi moto huteketeza kila kitu ktk nyumba za namna hii.
 
Ndugu wadau, kwakutumia aina yeyote ya mbao, nafanya finishing ya ndani kutumia mbao zilizotengenezwa kwa mashine maalum ya kazi hiyo!

Bei hutokana na aina ya mbao mteja atakayo itaka itumike kwenye nyumba yake, na idadi ya mbao zitakazotumika kwa aina ya urembo!

Nichek 068 281 8787

Karibuni Sana![/QUOTE
Kwa kweli inapendeza kitu tofauti kabisaaa......hongera kwa kazi bora
 
Ahsante ProudMama
 
Jason that's a good job. one of the major challenge to most people ni finising. Nataka kuanza ujenzi nitakutafuta. Una workshop? una kazi ambazo umeshafanya? I mean can you say I have done this and this?

Vijana wetu utaalamu wanao tatizo ni Ethics za kazi. It is a problem.Ukiweza kulikwepa hilo..utafanikiwa.
 
Shukrani Masanja!

Ndiyo ninayo workshop mkuu!

Ndiyo, hapo juu kwenye picha, mstari wa chini kutoka kushoto picha ya pili na ya tatu, ni kazi ya mikono yangu! Pia nataraji kutupia picha zingine za kazi ninayoifanya sasa!

Swala la ethics ni changamoto, ila najitahidi kupambana nalo kwa kiasi kikubwa na kumfanyia mteja apate anachotaka kwa ubora ulio wa juu na kwa muda tuliokubaliana!

Ahsante karibu sana!

Nashukuru kwa kunipa hope!
 
nimependa hii kitu na nahitajipia, shida hela.............
 
Back
Top Bottom