Asali asili kutoka Tabora

Asali asili kutoka Tabora

KABAKA28

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
211
Reaction score
229
Habari za muda huu wana Jf, Mimi nimfugaji wa nyuki nipo Tabora, Nina lita 600 za asali mbichi, naomba anaefaham soko lilipo anijuze maana mwakaa huu naona neema imenitembelea kwenye mizinga yangu.
tuwasiliane hapa 0767521736
Asanteni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom