Mrejesho wakuu, ufugaji wa kuku wa kienyeji

1992erick

Member
Dec 28, 2012
94
27
Natanguliza shukrani ya dhati sana kwa walioanzisha thread ya UFUGAJI KUKU ilianza mwaka 2009-2010 wakati huo milikua bado nanuka maziwa sikujua kama kuna siku moja nitatakiwa kuwa na maisha yangu.

Kifupi nilisoma thread zote zilizohusu ufugaji wa kuku wa kienyeji nilifata na nikajaribu kuanza. Hapa nilipo nilianza na kuku 10 tu majike na jogoo 2 ambao nilinunua 6000 kwa bei ya jumla, jumla nilitumia kama 250,000 kuanzia kuku hadi mahitaji yote yakiwamo pumba, lishe n,k na madawa japo unaweza kutumia chini ya hapo. Nilianza kwa furaha ufugaji wangu kuku walitia moyo hasa walipofikia kutetea ndani ya wiki moja baada ya kuwanunua wakaanza kutaga wiki lililofata nikaanza kukusanya mayai 5 kwa siku safari ikaanza.

Ulipita ugonjwa flani hivi wa kuku kuharisha kama chokaa au mharo mweupe wenye kijani huu ulinipunguzia sana utaagaji kwa kweli, MWENYE KUJUA DAWA NZURI ANIAMBIE maana nilitumia dawa za kuku bila mafanikio nikaamua kutumia za binadamu na ndani ya siku 2 tu wakabadilika na kuchangamka kabisaa. hapa nilipoteza wiki nzima kuhangaikia kuku na utagaji ulififia na maganda ya mayai hayakua imara kabisa yanabonyea bonyea.

Namshukuru MUNGU all things back on the ryt truck kuku walirud katika utagaji wao wa kawaida na nakusanya mayai zaidi kwa siku. trey najaza ndani ya siku 4-5 kwa kuku hao

Manufaa; kila mtu anakuja kutaka nimuuzie mayai haoy hadi kwa 20,000 per trey lakini nakataa kabisa

Cc

GAZETI
NGAO
na wengine wengi mliochangia akiwepo MALILA

mbarikiwe sana
 
natanguliza shukrani ya dhati sana kwa walioanzishas thread ya UFUGAJI KUKU ilianza mwaka 2009-2010 wakati huo milikua bado nanuka maziwa sikujua kama kuna siku moja nitatakiwa kuwa na maisha yangu.

kifupi nilisoma thread zote zilizohusu ufugaji wa kuku wa kienyeji nilifata na nkajaribu kuanza. hapa nilipo nilianza na kuku 10 tu majike na jogoo 2 ambao nilinunua 6000 kwa bei ya jumla, jumla nilitumia kama 250,000 kuanzia kuku hadi mahitaji yote yakiwamo pumba, lishe n,k na madawa japo unaweza kutumia chini ya hapo.Nilianza kwa furaha ufugaji wangu kuku walitia moyo hasa walipofikia kutetea ndani ya wiki moja baada ya kuwanunua wakaanza kutaga wiki lililofata nikaanza kukusanya mayai 5 kwa siku safari ikaanza.

ulipita ugonjwa flani hiv wa kuku kuharisha kama chokaa au mharo mweupe wenye kijani huu ulinipunguzia sana utaagaji kwa kweli, MWENYE KUJUA DAWA NZURI ANIAMBIE maana nilitumia dawa za kuku bila mafanikio nikaamua kutumia za binadamu na ndani ya siku 2 tu wakabadilika na kuchangamka kabisaa. hapa nilipoteza wiki nzima kuhangaikia kuku na utagaji ulififia na maganda ya mayai hayakua imara kabisa yanabonyea bonyea.

Namshukuru MUNGU all things back on the ryt truck kuku walirud katika utagaji wao wa kawaida na nakusanya mayai zaidi kwa siku. trey najaza ndani ya siku 4-5 kwa kuku hao

manufaa; kila mtu anakuja kutaka nimuuzie mayai haoy hadi kwa 20,000 per trey lakini nakataa kabisa

Cc

GAZETI
NGAO
na wengine wengi mliochangia akiwepo MALILA

mbarikiwe sana

Kama unataka kubobea ktk kazi hii, jitahidi upate fursa ya kuwatembelea wafugaji wakubwa wengi ili uchote maarifa zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom