Kuku wa kienyeji na magonjwa

Kuku wa kienyeji na magonjwa

JimCarrey

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
231
Reaction score
151
Wanajamvi Mimi nasoma sana topic zenu za ufugaji kuku hasa wa kienyeji name navutiwa sana kuwafuga ila nahitaji kujua he nikitumia chanjo inaweza kweli kulinda kuku Wang kwa ugonjwa kama kideli....????? Maana mama yangu alifuga kuku na niliwashuhudia walivopukutika kwa ugonjwa hi yo ninawasiwasi.... Pia nilisikia unaweza chanja kuku na kideli kikawakusanya.... Msaada Tafadhali hasa wafugaji
 
Kiongozi ugonjwa wa kideli kwa kuku huja kwa msimu na kila wakati mfugaji anatakiwa kuwa chonjo nao maana kideli huwa kinazuka tu. Ujitahidi kila mara kufanya usafi wa banda la kuku tena kwa kutumia dawa zinaweza kuua vijidudu pia kuzinywesha kuku zako maji ambayo yamekuwa treated na dawa ilikuuwa vinelea vya magonjwa.
Binafsi ninayodawa inayoweza kufanya kazi zote hizo mbili usafi wa banda na kutibu maji.
Unaua utitiri na viroboto then wakinywa wanajikinga dhidi ya kideli. LITA 1 UNACHANGANYA NA MAJI LITA 10 KUWA DAWA YA KAWAIDA AMBAYO UTAITUMIA KWA KUSAFISHIA BANDA NA KUWANYWESHA. 0763797853
 
Asante kwa ushauri kaka kavishe
 
Back
Top Bottom