Kama kichwa kinavojieleza hapo juu.
Nimebahatika kudunduliza hela nimepata laki 5 naweza kufanya biashara gani kwa wilaya ya NAMTUMBO mjini pale.naomba mchango wa mawazo maana najua kwangu...
Kijana yoyote ambaye unaisoma makala hii ambaye unataka kujiaajiri kwanza lazima uyazingatie mambo haya , kwanza uelewe ujasiriamali ni kitu cha namna gani na unawezaje kufanikiwa kupitia...
ELIMU BIASHARA
JINSI YA KUUA BIASHARA YAKO
Inasemekana kwamba Biashara nane au tisa kati ya biashara mpya ambazo huwa zinaanzishwa huwa zinafeli, yaani zinakufa na zinashindwa kuendelea...
Habari wadau,automatic incubator zenye uwezo wa kuengua mayai 48 zinauzwa kwa punguzo la bei,kwa sasa bei ni Tshs 400,000/= na zina warranty ya mwaka mzima!kwa mwenye uhitaji anaweza kuni PM au...
Hello.
Mimi ni kijana nina miaka 25, nipo Zanzibar. Nina elimu ya Diploma ya juu (advanced diploma) katika fani ya Finance.
Kuna idea ambayo nahisi ina tija sana kwa maeneo ya dar es salaam na...
Habari msomaji wa uzi huu. Je, unahitaji kufanya biashara ya pamoja na unamtaji? karibu tufanye biashara kwa pamoja, haijalishi uko mkoa gani.
Unaweza kuniPM namba yako kwa ufafanuzi zaidi. Fursa...
Kuna utajiri mkubwa uliolala katika Kilimo. Baadhi ya watu wanakosa taarifa tu ili wawe na uwezo mkubwa wa ki-uchumi. Bofya UjasiriMali na iMADS
Ukithubutu, Utaweza.
Naomba ushauri, nina idea ya kuanzisha biashara ya hardware na niko Dar but I do not have any idea on the business startup capital, business formalization process and its costs na where I can get...
Habari ndugu zangu?
Kwanza mniwie radhi kwan kifaa changu kilizma chaji kabla sijapost. Nahitaji kupata maarifa juu ya kilimo cha tangawizi , je mbegu nzuri ni aina gan? Zinapatikana wap? Je...
Habari za leo mabibi na mabwana,
Nina mpango wa kununua line za tigopesa na mpesa kutoka kwa wakala ambae ameacha kufanya biashara hiyo ya uwakala na kuamua kuziuza line zake. Kama mnavyojua...
Kwa mwenye uhitaji wa kuku hawa ni chotara,mchanganyiko wao ni kuku wa mayai wekundu na kuku wakienyeji,kuna majogoo na majike,majogoo ni wekundu kama walivyo majike na wanauwezo wakupanda vizuri...
Wakuu wajasiriamali na wadau wengine salaam,
Ningependa tuutumie uzi huu kupeana update za bei ya mazao mbalimbali kwenye masoko mbali mbali nchini.Update hizo za mara kwa mara zitawasaidiwa...
Habari za majukumu,
Ningependa kujuzwa juu ya soko la asali kwa Dar es salaam, asali ni ya nyuki wakubwa kutoka Singida na ni asali mbichi.
Thanx in advance
Washiriki,
Poleni na majukumu.
Leo naomba msaada wa mawazo. Ni wapi Tanzania hii ambako kuna shirika linasaidia vijana wenye idea nzuri za biashara na kuwapa funds bila masharti kama ya bank...
Nataka kuanzisha biashara ya chips ila bado sijajua mchanganuo wake yaan mtaji, muuzaj namlipa kiasi gani kwa siku, mimi naingiza kiasi gani kwa siku, pia vitu vikiisha kama viazi ni juu yangu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.