Msaada:Ushauri wa biashara ya kufanya mtaji 10m +

Emmado

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
225
Reaction score
278
Naombeni ushauri wa biashara ya kufanya ambayo haiitaji usimamizi wa karibu kwakua mi ni mfanyakazi ambaye nifanya kazi full time kasoro weekend tu. Naomba ushauri wa kufanya biashara dsm.. Mtaji wangu upo 10m mpaka 20m.
Natanguliza shukrani.
 
Kwa vile ww uko busy nipe mm hiyo hela alafu ntakurudishia 30m baada ya miezi 8.....ila kama unajipenda cku iz ukimwachia mtu biashara yako ujue imeliwa hata kama ni mkeo...cha msingi nunua kiwanja kiac he value yake itakua Inapanda kila mwaka...ikiwezekana uje ujenge nyumba za wapangaji ndo biashara pekee ambayo haihitaji uwepo wako
 
Asante sana.. Lakini lengo langu ni kuongeza kipato nje ya mshahara wangu..
 
Naombeni ushauri wa biashara ya kufanya ambayo haiitaji usimamizi wa karibu kwakua mi ni mfanyakazi ambaye nifanya kazi full time kasoro weekend tu. Naomba ushauri wa kufanya biashara dsm.. Mtaji wangu upo 10m mpaka 20m.
Natanguliza shukrani.

Nenda kainvest na wale jamaa wa halotel ukiweka mil 10 kwa ajili ya kuwauzia float watu wao wa mpesa unapata kamisheni kuubwa saana. Sijaijua biashara hii vizuri ila kaulizie kwenye ofisi zao uzuri kuna maelfu wanamake good money kwa ishu hizi.
 
Hao wageni wanaaminika kihivyo!!
 
Back
Top Bottom