Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Japokuwa watu wengi wamekuwa wakiogopa changamoto za biashara ya Daladala lakini mimi sitaacha kamwe biashara hii labda ziungue zote na moto halafu niwe sina pesa ya kununulia nyingine. Karibuni...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Pole na majukumu wana jamvı.Naomba mnisaıdie uelewa kwa kuniwezesha kufahamu juu ya upatikanaji wa soko la mkaa pamoja na asali jijini DSM.Pia changamoto ziambatanazo na bıashara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ufugaji wa bata mzinga unalipa xana hukua haraka miezi mitano tu pia huuzwa kabei ya laki moja mpk moja na nusu fuga bata mzinga uage umaskini
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Nimelima heka tano za matikiti mkoani pwani karibu na ruvu. Yapo vizuri yanakuwa tayari ndani ya wiki moja ijayo.. Aina ya mbegu ni sugar king f1 hybrid.. wahi sasa tuwasiliane kwa oda..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, kwa wanaohitaji karoti za kununua kwa jumla wanitafute, namba yangu ni 0713769013, Mzigo upo wa kutosha muda wowote kwa sasa. Karibuni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kazi kubwa sana unayohitaji kufanya baada ya kumpata mteja ni kuhakikisha anaendelea kuwa wako, yaani anaendelea kufanya biashara na wewe. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakitumia nguvu kubwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale wanaohitaji majogoo Chotara kwa ajiri ya parental stock(kuku wazazi),wapo jogoo 70 jamii ya black austrop,Rangi ya kanga,na mchanganyiko mwingine,jogoo hawa wana kama kilo 3,wanapatikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari!!! Kuna mtu aliniagiza kutafuta soko la mbao nje, nimepata wanunuzi ila wame demand waone scanned copy ya vibali vyake vya biashara kwanza. Mpaka sasa vibali kutumwa imekuwa issue...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
High quality IT Training Courseware for Individual and organization for more information call 0689-633877 demo coursewares are attached here .
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Habarini za loe wana jamiiforum, Ninaomba mwenye uelewa wa biashara ya hisa na jinsi inovyo fanywa na faida inapatikana vipi anipe mwongozo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Kwenu Wakuu. Ama baada ya salaam. Ningependa kutanguliza shukran zangu kwenu nyote kwa ujumla. Kama mada inavyojieleza, naomba kujuzwa bei elekezi ya kuku wa kisasa wa nyama...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
FURSA YA KIFEDHA KWA WAJASIRIAMALI WA KUKU NA MAHINDI Je wewe ni mjasiriamali? Je ungependa kukuza biashara yako? Kama ni msindikaji wa chakula una kuku, mzalisha ji wa vifaranga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FURSA YA KIFEDHA KWA WAJASIRIAMALI WA KUKU NA MAHINDI Je wewe ni mjasiriamali? Je ungependa kukuza biashara yako? Kama ni msindikaji wa chakula una kuku, mzalisha ji wa vifaranga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi kijana mwenye miaka 24 niña elimu ya forma 4 natafuta kazi yeyote gente maslahi yakuniwezesha mimi kuendesha maisha iwe ya nyumbani hotelini su viwandani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitajii mkopo wa kuanzisha biashara, sina assets kama kiwanja, nyumba hata gari.. Lakini nimekua nikitafutaa mkopo ili nianze biasharaa.. Na naminii kua nitaulipa tu kwa muda muafaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Agri Bisiness tunajishughulisha na vitu vifuatavyo -tunatoa ushauri kuhusu kilimo -tunaandaa bustani za kisasa (green houses ) -tunajenga mabanda ya kuku wa kisasa -tunauza na kusupply mbegu bora...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wa jukwaa!! Husika na kichwa cha habari pale juu, kuna wazo ambalo nimerifkiria nadhan watu wengi watafaidika kuhusiana na elimu ya mambo ya ufugaji na kilimo ambao watu wengi tunataman...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za kushinda na kushindwa wanajamvi, Waungwana mi kijana nifanyakazi kwenye likampuni mmoja kubwa sana hapa but kiukweli sioni maisha yangu yakibadilika japo nina miaka 9 kazini yes nina...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mimi niko USA nafikiria kupeleka mabelo ya mitumba bongo kama ya viatu, jeans au mchanganyiko, na nataka kuuza kwa belo au jumla. Swali langu ni hili; Je, belo moja bei gani? Na...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari za siku wanajamiiforum, Napenda kuwataarifu kuwa madaktari na wauguzi au manesi pia wale maphamasia na wale wanaopenda kuwa wajasiliamali kwa kufungua pharmacy shops au maduka ya dawa kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom