Soko la vitunguu

Soko la vitunguu

Vivac

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
475
Reaction score
483
Habari zenu wakuu wangu!!!
Nimelima vitunguu na vipo tayari lakini soko lake, kuna mmoja alikuja akasema nimuuzie kwa 60000 gunia, na kiukweli nahic itanikata sana. Nimelima hekali moja huko iringa maeneo ya magubike.
Naomben mawazo yenu ndugu zangu ili nijikwamue kwenye janga hili la umaskini.
 
Back
Top Bottom