JimCarrey
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 231
- 151
Wanajamvi Mimi napenda sana ufugaji hasa Huu wa kuku wa kienyeji..... Lakini huku mtaani kwetu kumekua na watu waliowahi kufuga na wakakaribia kufanikiwa kabisa kwakua na kuku zaidi ya 300... Lakini ulipopita ugonjwa unaitwa kideli ulibeba kuku woote bandani japo walikua wanachanjwa..... Naomba ushauri... Nikwamba huo ugonjwa haunaga kinga au ni makosa yalifanyika wakati wa kuwachanja.....?????? Msaada Tafadhali maana ninauoga na nahitaji mjasiriamali mmoja mzoefu anotoe uoga Huu.... Asante .....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sent from my TECNO M5 using Tapatalk
Sent from my TECNO M5 using Tapatalk