Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mercury nyeupe inapatika , kilo moja ni Tsh 500,000. Nipo Mwanza. Kwa mawasiliano zaidi tuonane inbox.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mtu nitakayefanya nae biashara ya computer accessories, aniuzie kwa bei ya jumla
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo ukerewe visiwani napenda kuwa wakara wa usambazaji wa sigara hapakisiwani kwani mtandao huo haupo hapa USHAURI wakuu nipate wapi wahusika wa hii biashara MSAADA
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Agri Business tunajishughulisha na maswala yote ya kilimo. Pia tunatoa ushauri kuhusu kilimo, tunaanda bustani za kisasa (green house), tunauza madawa ya kilimo, tunatengeneza mabanda ya kuku wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vitunguu vinapatikana Mvumi kilosa karibu kabisa na barabara na vipo ghalani. Mzigo unakadiriwa kuwa gunia 80-100. Mwenye uhitaji ani inbox.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shikamooni mana wengi humu ni wakubwa kwangu Naombeni kwa yoyote anaeweza kunipa mchango wa kimawazo kuhusu kuanzisha computer training centre wazo lolote lile litakuwa la maana kwangu
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Mwenzenu nimeamua kuingia katika ufugaji kama moja ya njia ya kuongeza kipato changu, na nitaanza na ufugaji wa FISI na BUNDI, nitakua nikiwauza abroad na kupata foreign currency ya...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Bata mzinga dume wanapatikana kwa Sh. 70,000 kwa ukubwa wa kati na Sh.150,000 kwa mkubwa kabisa. Kwa atakayehitaji anitafute kupitia namba hii: 0753249862. Mimi napatikana Dar. Karibuni sana
0 Reactions
6 Replies
2K Views
If you need the above services, please contact us for less cost, Email homeresearch12@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Get services of Business plans, research proposal writing, data collection, data entry, data analysis, and report writing For more contact check through Email homeresearch12@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Look around your home and office and scan for problems that face your peoples around you and turn that problem into opportunity and if its real opportunities you can make money .
1 Reactions
0 Replies
838 Views
Kavati za vioo zinauzwa ni special kwa madukan kwa kuuzia simu n.k kwa mawasiliano 0655153518 whatsap mahali ni ruaha morogoro
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wajasiriamali, Napenda kuwaletea biashara ya Pullets/kuku wa mayai ambao wametuzwa kwa uangalizi wa hali ya juu ma kulishwa chakula bora kabisa cha CP,wanapatikana kwa bei zuri...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa Naomba mnipe msaada wa mawazo kuhusu biashara ambayo naweza kufanya kwa mtaji wa Tshs 500,000 Hata kama ni yakusafiri sio mbaya
0 Reactions
5 Replies
8K Views
kwa wale wanaohitaji huduma za kutengenezewa #music video #films , #documentary#TV program #logo&posters#studio photos Tunakukaribisha AFRICAN HITS STUDIO. Tupo tegeta. phone: 0712973820 /...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MIRADI MIDOGO MIDOGO 15 YENYE KUZALISHA KIPATO KIKUBWA KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI WANAFUNZI NA WANACHUO STUDENTS WITH A MISSION 1.MLM: Hi ndio biashara moja ambayo wanafunzi wengi ulaya...
2 Reactions
4 Replies
15K Views
Habari wakuu, Nahitaji Kujiunga na kikundi chochote cha watu wenye malengo ya kufanya savings, kukopeshana, kushauriana, kubadilishana mawazo etc. Niko Dar na nimfanyabiashara. Note that am not...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau ni jinsi gani waweza kujingizia kipato kwa kupitia mtandao (interment)
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za humu wanajukwaa, Kwa wale wazoefu juu ya bidhaa tajwa hapo juu nilikua naomba kujuzwa yafuatayo please: *Ni wapi bidhaa hizo zinapatikan kwa Bei Rahis na zenye Ubora *Bei za bidhaa...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom