Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

habari!naomba mnisaidie hv kwa anayepata take home ya 700000(laki saba)anaweza kupata mkopo wa shilingi ngapi kwa benki ya NMB?
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Kwa wale wanao ishi maeneo ya Mbeya mjini wapi nitaweza kupata duka la kuuza mbolea aina ya Urea jumla na rejareja (mbolea ya chumvi)? Msaada wenu unahitajika!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kwasasa nimefika hatua nzuri ila naitaji sasa mkopo nifungue biashara.Nimejitahidi kujenga ukumbi mkubwa ,pub,vyumba vya flame vinne na chumba mbili za kulala. Uwekezaji huu hupo karibu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza dumpy level mbili Nestle na Swiss+plus Mwenye kuhitaji ani - pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wadau; Ninaomba kwa mtu yeyote anayejua juu ya biashara tajwa, ninatarajia kuanzisha biashara hii kuleta songea; naomba kujua kuhusu upatikanaji wa bidhaa,bei na mengineyo yatakayo faa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari wandugu natumaini mko poa,nilikuwa nataka kufungua kampuni langu,nilikuwa nahitaji mtu ambaye anaweza akanisaidia kufungua,ningependa anitajie gharama zote zinazoitajika ili kukamilisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kwa wale wanaohitaji huduma za kutengenezewa #music video #films , #documentary#TV program #logo&posters#studio photos Tunakukaribisha AFRICAN HITS STUDIO. Tupo tegeta. phone: 0712973820 /...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo dar nipe bei yako ya jumla nahitaji tray nyingi. Nasafirisha zanzibar.0714 045080..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu karibuni tunasambaza samaki na dagaa waliokaanga na kupakiwa vizuri kwa mikoa ya Dar na Arusha kwa order utakayotupatia. Dagaa na samaki wote wanatoka ziwa Victoria na pia kwenye...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habri za leo wana JF, Kwa wale wote tunaofuga tunajua ni kiasi gani chakula cha kuku kimepanda na bado tunategemea chakula cha kuku kuanzia tarehe 1/10/2015 kitapanda kwa ongezeko la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji kuanzisha mradi wa kufuga kuku wa kienyeji nataka nianze na vifaranga 1000 . sasa wataalamu naombeni mnisadie mambo ya yafuatayo Gharama zake kuweza kufuga hao kuku.mabanda na chakula...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nipo maeneo ya dar es salaam ubungo, Nauza kuku wa kienyeji mtetea 13000, jogoo ni wakubwa tu kwa 15000. Karibuni. Wamebaki wachache tu kama 40 hivi 0713419730
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari kwa anaeitaji kitabu cha ukulima wa vitunguu,mboga zote na matunda na ufugaji wa wanyama tajwa hapo chini anaweza kuniPm bei ni Elfu saba tu {7000/=}kwa kimoja na elfu...
15 Reactions
76 Replies
29K Views
Wana JF Tunakodisha eneo la biashara lina ukubwa wa heka 2 na Zaidi. Eneo liko mita 500 kutoka barabara ya Bagamoyo. Linafikika kwa barabara ya uhakika. Eneo liko tupu lakini limepimwa na lina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukwaju unapatikana kwa tsh 7000 kwa debe Mbeya,bei inazungumzika. Kama unahitaj ni pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Naomba mwongozo nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa mayai na nyama. Naomba kujua mahitaji muhimu na mambo ya kuzingatia katika ufugaji huo. Asante sana
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni mnishauri jinsi gani naweza kuitumia gari aina ya Land Rover One Ten kibiashara zaidi...Napatikana Dar. Gari ni ya kizamani lakini engine ipo poa na body nzuri...Sasa naona kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Nina mpango wa kununua power tila mpya kabisa hivyo naomba msaada kwa wanaojua bei yake. Nipo Dodoma, inahitajika haraka iwezekanavyo. Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
13K Views
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI KUTOWEZA KUSHIRIKE TENDO LA NDOA IPASAVYO,NA UKIFIKIA HATUA HII NI LAZIMA UTADHARAULIKA NA KILA MWANAMKE NA HATA WW MWENYEWE UTAJIDHARAU MANA UTAJIONA SI LOLOTE MBELE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Zenu, Kwa Wenye Mahitaj Ya Vifuatavyo Wanione, 1, Project Write Up And Proposal 2, Busness Plan And Directory 3, Investment Plan 4, Project Proposal And Draft 5, Link With Foreign...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom