Ninataka kufanya biashara ya kuuza sim

Ninataka kufanya biashara ya kuuza sim

wakujua

Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Habari zenu wana jf, mimi naishi dar nataka kufanya biashara ya kuuza simu kariakoo naomba mwenye uzoefu anijuze faida na hasara ya biashara hii na nnaweza anza na mtaji wa shingapi!
 
Back
Top Bottom