Umwagiliaji wa matikiti unafanyikaje?

Umwagiliaji wa matikiti unafanyikaje?

chayowa

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
413
Reaction score
112
Hi wakuu
Naomba kueleweshwa matikiti yanamwagiliwa vipi?
Asanteni
 
unge mchagua hashim rungwe sipunda wala usinge tusumbua sasa. maana chopper ingekuja kukumwagiliia mkuu
 
Kwa wiki za mwanzoni unanyeshea asubuhi au jioni tu, ila litaanza kutambaa na kutoa tuna ukubwa wa ngumi utanyeshea asubuhi na jioni kila siku, usiponyeshea utavuna yenye umbo dogo sana, weka kichwani ukubwa wa tikiti ni mbolea dawa na maji ya kutosha, ndo maana ukila tikiti asilimia kubwa ni maji maana yake yalimwagiwa maji ya kutosha

kumbuka tikiti ni maji ndo maana linaitwa tikiti maji

dawa husaidia ni muhimu na mbolea hasa ya kuku au ya viwandani kwa kila wiki
 
Asante Sana mkuu.
Nimefurahi lakini ni mbinu ipi ya umwagiliaji? Kwa kumwaga na pipe ya pump kama vitunguu? Matunda yakitokea haina effect kwayo?
Asante
 
Mkuu nipe maujanja mkuu
 
Back
Top Bottom